Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake...
Mm bado ntabaki na msimamo wangu uleule kwamba hawa ndugu zetu tuliowatoa ubavuni mwetu japo ni watamu lakini pia wanatusababishia matatizo makubwa mno.
HISTORIA YA KWELI
Mnamo mwaka juzi mwezi wa sabasaba hizi kulitokea kadada kamoja kalinisumbua sana mungu si athumani akakubali ombi mtoto...
Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye.
Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao kuyahusu maisha yangu na yeye lakini kwa busara zao...
Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
Kuna kauli ilitolewa na Mwanachama mwandamizi wa makolo MINOCYCLINE , rejea huu Uzi Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3
Wote tunajua hii account ni ya nani humu, so sitokuwa na haja ya kumtaja.
Ninachotaka kusema, kwavile...
Niko siti ya mbele karibuni walimu.
Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi.
KARIBUNI
Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii naenda Daraja E) napenda kuwasanua kuhusu mchongo pesa.
Popote ilipo hii game,iwe 1,xbet au...
Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
27th April niliamua kumbananisha kwa ukuta binti mmoja mwenye 23 yrs, tako mbudule, ka nane fulani hivi kwenye nyonga na weusi wa mzeituni. Bila kuchelewa nikaanza kukafungukia ya moyoni, hakakuwa serious kiivyo, kakaishia kunipush na kuondoka zake
29th April mida ya jioni tulikuwa na party la...
Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali.
Kama tuna share the same interest hebu tujumuike...
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu"
.
Kupitia Ukurasa wake wa...
Habari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
Maisha ni safari ndefu sana maana tulipotoka sipo tulipo sasa maana maisha yamebadilika sana. Huko nyuma kipindi kama hichi cha sikikuu watu walicheza disco na kukata ngoma haswaa, wale wa kijijini walicheza mpaka nyasi ziling'oka. Walikuwepo making wa dancing floor yaani akianza kukata wote...
Dah wakuu hizi papuchi zinatesa sana.
Niliwahi kutana na demu wa Singida aisee ,mtoto mkali anavutia sana kwa nje lakini kufika kunako 6×6 kila nikiweka sikojoi. Mara saa moja inakatika bado sijakojoa,wakati huo yeye ashakojoa Mara Tatu.
Mnara unasoma 5G ila sikukojoa ,kila nikibadili style...
Kuna watu wameumbwa duniani na fani zao, leo tuzungumzie wale wazee wa vitonga.
Mjini kugumu ila ukiwa mzee wa vitonga unaona mji mwepesi maisha yanaendelea. Bali ukiwa kitonga kuna vitu lazima uwe navyo au uvifanye kwa maisha yetu ya kimjini mjini.
1: Kitonga lazima ujue kulenga eneo la...
Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu.
Simu kuziweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.