Ni salaam tu fupi kwa ndugu yangu Harrison Mwakyembe, jamaa mmoja hivi aliyepata umaarufu mkubwa sana kwenye siasa za chuki na visasi. Harrison Mwakyembe, wakati Edward Lowassa ni Waziri Mkuu, alikuwa kiongozi wa kundi maalum ambalo kazi yake kubwa ilikuwa ni kumharibia Edward Lowassa nafasi...
Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua.
Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
Wakuu, happy new year 2024.
Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane:
1. Uwanja wa ndege wa Msalato
2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar
3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama
4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
Guys! Nostalgia is a real disease.
Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu.
Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon, Boomerang na Disney. Tukumbushiane baadhi ya cartoons tulizowahi kuzicheki
Kwangu Mimi hii hapa top 15...
Habarin wana JF.
Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa...
Habarini wakuu,
Nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kujua wastani wa hali za wenzangu wanaoishi katika status ya u-single hasa katika gharama zetu za kujimudu kimaisha zipo vipi? Kwa mfano katika siku mtu unatumia wastani wa gharama kiasi gani katika kula, Vocha na Usafiri?
Kwa mfano mimi...
Habari wana JF,
Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
Habari ya asubuhi,
Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓
Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu...
Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani?
Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea...
Inakuwa ngumusana kuzikontroo.
Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk
Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock
Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana...
Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia.
Wanasayansi wengi wanaamini kuwa zipo dalili nyingi zaidi sasa kuwa binadamu hatuko peke yetu kwenye ulimwengu wa...
Wakuu Habari!.
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2016 Niko Dodoma! Nilipendelea sana kununua madada poa mitaa ya uhindini hapo.
Basi bwana Nikiwa Mimi na jamaa angu tukiwa tunachagua bidhaa ya kuondoka nayo, Mara paap Polisi hao hapo! Tulikimbia wee lakini tuliishia kukamatwa.
Tukatiwa kwenye Tenga...
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.