Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao kutukana na kuwasema Rais Samia kuwa hajafanya maendeleo ilhali reforms zimefanyika bungeni kwa kutumia...
Mbunge wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mbeya Mjini, leo Ijumaa Mei...