tume huru ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Pre GE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia : Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa...
  2. KING MIDAS

    Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  3. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 ACT-Wazalendo jengeni upinzani wa kweli. Mlitaka Tume Huru ya Uchaguzi leo mmeshindwa kuipigania

    Chama cha ACT-WAZALENDO, tambueni nyie ni chama cha upinzani siyo chama rafiki cha CCM kumbukeni nyie ndiyo kipaumbele chenu kilikuwa tume huru ya uchaguzi muliamini kuwa tume huru ya uchaguzi ikipatikana basi uchaguzi utakuwa wa huru na haki. Pia kumbukeni Chadema walikwepa mtego wa tume huru...
  4. T

    Kizazi bora Tanzania kiongozwe na agenda nne muhimu

    Ukiangalia nchi inakoelelekea kwa kizazi kipya na cha kileo Tanzania, bila kujali itikadi ya chama chochote, dini, kabila na ukanda, agenda muhimu kwa sasa ni Katiba Mpya, Tume Huru, Ulinzi wa Raslimali za nchi, upatikanaji wa teknolojia bora, maisha rahisi na bora kwa nchi yetu. Na hivi...
  5. B

    SoC04 Udhibiti na kuimarisha utawala bora, mifumo ya kiserikali kulinda rasilimali na maslahi ya taifa

    Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
  6. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Ni zipi faida na hasara za kugomea au kususia uchaguzi wa kisiasa?

    Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania....:NoGodNo: Katika historia ya siasa za vyama vingi Africa Mashariki...
  7. Tlaatlaah

    Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  8. Mturutumbi255

    Pre GE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  9. K

    Sheria ya tume huru ya uchaguzi

    Bunge lilipitisha sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na kupitisha kuwa kutakuwa na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi. Mbona mpaka leo bado wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ndiyo bado wako ofisini na wanaendelea na majukumu kama kawaida licha ya Sheria ya Tume Huru Kupitishwa na Bunge. Naomba...
  10. Mdude_Nyagali

    𝗨𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝘂𝗺𝗲 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗦𝗼𝘂𝘁𝗵 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗻𝗶 𝘇𝗮𝗼 𝗹𝗮 𝗠𝗮𝗻𝗱𝗲𝗹𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 na Tanzania ni zao la Nyerere

    Huko bondeni kwa Madiba hali ya chama kilicholeta uhuru ANC ni mbaya sana tangu kuanzishwa kwake. Kwa mazingira haya hakiwezi kuunda serikali kwa sababu kimekosa 50% ya kura zote zilizopigwa. Mambo kama haya ndio yanaifanya CCM ikatae #KatibaMpya na Tume huru. Nawaambia hizo trillion 6 ambazo...
  11. Heparin

    Pre GE2025 RC Chalamila ataka Tume Huru ya Uchaguzi iwe chini ya Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo. Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka nayo, itakuwa siyo nchi. Mtu wa tume akikosea atawajibishwa na nani? Hakuna uhuru usio na mipaka...
  12. Abdul Nondo

    Pre GE2025 Dhamira ipo wapi katika kuwa na Uchaguzi Huru na wa Haki 2025?

    Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi ili kupata Tume huru ya uchaguzi ambayo viongozi wake wanapatikana kwa mchakato kupitia kamati...
  13. J

    Pre GE2025 Nondo amvaa Khamis Mobeto kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kongole Azam

    Asubuhi hii, nimebahatika kuona mjadala wa wanasiasa kupitia UTV ambapo mwenyekiti wa ngome ya vijana ya ACT wazalendo, amemvaa vilivyo naibu katibu mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mobeto. Katika mjadala huo, Mwenezi huyo wa CCM amenukuliwa akisema Tume huru ya uchaguzi itaanza baada ya...
  14. OC-CID

    Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  15. K

    Pre GE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  16. S

    Pre GE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  17. B

    Ezekia Wenje achambua kinachopaswa kuitwa Tume huru ya Uchaguzi. Asema Canada na Ubelgiji ina viongozi waadilifu Nchi zao zinaendelea

    Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo. Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya uchaguzi. Katika maelezo yake amesema Nchi zote zinazotupatia misaada na zenye maendeleo zina mifumo ya uongozi na utawala bora. Hivyo...
  18. mwanamwana

    Pre GE2025 Zitto Kabwe: Kuelekea uchaguzi 2024/2025 hakuna dalili ya Katiba Mpya hivyo ni muhimu kuweka mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi

    Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini yanatokea, kwa hiyo misingi ni msingi wa kikatiba na msingi wa kisheria, ni dhahiri kwamba hatuoni...
  19. Tindo

    Pre GE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  20. S

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
Back
Top Bottom