tume huru ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Watu wanaosema Tume Huru ya Uchaguzi ianze kabla ya Katiba Mpya hawajui kwamba wanabariki Katiba Mpya kutopatikana hadi baada ya 2025!

    Jiulize, kwani Tanzania ilikuwa imefikia wapi na Mchakato wa Katiba Mpya, na ni nini kilichokuwa kimebaki ili kuikamilisha? Na pia jiulize, ni mambo gani yanatakiwa ili kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Sasa unapokuwa na majibu yanayojitosheleza ya maswali haya, ndio utoe kauli kuhusu haya mambo...
  2. B

    Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi. Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma. Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari: Kwa kuzingatia msingi huo...
  3. Idugunde

    Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  5. Analogia Malenga

    CHADEMA yathibitisha kutoshiriki uchaguzi mdogo Ngorongoro, hadi Tume Huru ya Uchaguzi itakapopatikana

    Taarifa kwa Umma Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na kata saba na badala yake amesisitiza kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi itakayohakikisha chaguzi...
  6. S

    Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi - haya mauzauza yanayofanywa na Serikali ya sasa sio halali

    Serikali iliyopo ipo hapo kwa kuwekwa tuseme kimabavu bila ya kutoana jasho, japo kuna waliopata vilema na waliouliwa ili Chama cha CCM kisimike serikali yake, ambayo ndio imejipa madaraka ya kuongoza wasiotaka kuongozwa na wao. Natija ni kila linalofanywa na serikali hii halikubaliki kwa roho...
  7. P

    Nafasi ya muamuzi katika mashindano!

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  8. mshale21

    Msajili wa Vyama vya Siasa akutana na Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi

    Kupitia ukurasa wao wa tweeter, jeshi la Polisi Tanzania wameandika "Leo 23/09/2021 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini akutana na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma"
  9. mshale21

    RPC Kingai awaonya BAWACHA, Ahoji, unafanya mazoezi ukiwa umevaa fulana zilizoandikwa ''Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi'?

    Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) likilaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam kuzuia mazoezi waliyofanya jana, leo Septemba 19, Kamanda wa Kinondoni, Ramadhani Kingai amewaonya wanachama hao akisema Polisi wana akili zaidi yao na kwamba wasiwabipu...
  10. S

    Tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli wanacheka ukiwepo ni kuibuka na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, na kuhakikishia hapo ndio...
  11. S

    Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  12. Erythrocyte

    Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

    Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Kwa mujibu wa...
  13. S

    Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kipi kianze?

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani. Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
  14. Prof Koboko

    CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  15. I

    Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

    Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani. Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
  16. Erythrocyte

    Mjadala wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi hautazimwa kwa kumfunga Freeman Mbowe

    Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena kutokana na matakwa ya viongozi wa Tanzania, ambao wanamuogopa kutokana na hoja zake nzito za...
  17. Matendo Andrew

    Mimi nasema Katiba Mpya kwanza, Tume Huru ya Uchaguzi itajileta automatically

    Watanzania wenzangu unajua kunamambo huwa hayahitaji kutumia nguvu wala akili nyiiingi sana. Hebu tujifunze kua uweredi wa mafundi kinyozi huyu jamaa halipwi kulinganga na mashine yake kukaa sana kichwani kwa mteja bali kunyoa haraka na vizuri ndio kunampa umahiri wa kazi yake. Tofauti na...
  18. mkalamo

    CHADEMA imeweka Mgombea jimbo la Konde. Je, ni kuhalalisha Tume ya Uchaguzi?

    Katika siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo, kupitia viongozi, wanachama na washabiki wake kote nchini, waliutangazia umma kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote kama hakutakuwa na tume huru ya Uchaguzi. Mbaya zaidi ikakinyooshea kidole chama cha ACT Wazalendo, kilichoshiriki...
  19. technically

    Ushauri: CHADEMA na NGO's waitishe maandamano ya amani kudai Katiba ya Warioba na Tume Huru ya Uchaguzi

    Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya. Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari kwa 90%? Kama tuna pesa za kufanya SENSA ya watu na makazi mwaka 2022 tunakosaje pesa ya kumalizia...
Back
Top Bottom