tume huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  2. Mturutumbi255

    Pre GE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, leo Jumatano Juni 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya majadiliano kuhusu mandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utakaoanza Julai 1, 2024. UBORESHAJI WA...
  4. K

    Sheria ya tume huru ya uchaguzi

    Bunge lilipitisha sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na kupitisha kuwa kutakuwa na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi. Mbona mpaka leo bado wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ndiyo bado wako ofisini na wanaendelea na majukumu kama kawaida licha ya Sheria ya Tume Huru Kupitishwa na Bunge. Naomba...
  5. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: Wapigakura wapya 224,355 kuandikishwa Kigoma

    Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
  6. Heparin

    Pre GE2025 RC Chalamila ataka Tume Huru ya Uchaguzi iwe chini ya Rais

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo. Hakuna tume itazaliwa Rais asiwe na mamlaka nayo, itakuwa siyo nchi. Mtu wa tume akikosea atawajibishwa na nani? Hakuna uhuru usio na mipaka...
  7. OC-CID

    Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  8. DaudiAiko

    Pre GE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  9. K

    Pre GE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  10. S

    Pre GE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  11. Heparin

    SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  12. peno hasegawa

    Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki. Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
  13. B

    Ezekia Wenje achambua kinachopaswa kuitwa Tume huru ya Uchaguzi. Asema Canada na Ubelgiji ina viongozi waadilifu Nchi zao zinaendelea

    Ni Mwanasia machachari wa Kanda ya Ziwa aliyewahi kuvuma sana wakati huo. Ametoa ufafanuzi wa kina na maelezo zaidi kuhusu sida bora za Tumee Huru ya uchaguzi. Katika maelezo yake amesema Nchi zote zinazotupatia misaada na zenye maendeleo zina mifumo ya uongozi na utawala bora. Hivyo...
  14. mwanamwana

    Pre GE2025 Zitto Kabwe: Kuelekea uchaguzi 2024/2025 hakuna dalili ya Katiba Mpya hivyo ni muhimu kuweka mazingira ya kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi

    Zitto Kabwe akiongea katika kipindi cha Power Breakfast amesema kuwa “Tulitarajia kwamba mambo ya 2019 na 2020 (Kuhusu uchaguzi) yangekuwa mambo ya aibu kwamba yasingeweza kutokea tena lakini yanatokea, kwa hiyo misingi ni msingi wa kikatiba na msingi wa kisheria, ni dhahiri kwamba hatuoni...
  15. BARD AI

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Tume ya Uchaguzi sio Huru, ni Tume ya Rais

    “Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais kwa maana kwamba wajumbe wake wote ni wateule wa Rais , mtendaji wake mkuu ni mteule wa Rais...
  16. F

    Pre GE2025 Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Source: Clouds FM Power Breakfast. Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale. Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
  17. S

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
  18. Roving Journalist

    Pre GE2025 Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya mwaka 2024 | Tanzania Independent Electoral Commission Act, 2024

    Sheria hii inabainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na kuweka masuala mengine yanayohusiana na hayo. Kwa mujibu wa Sheria hii...
  19. ACT Wazalendo

    Pre GE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
  20. kavulata

    Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inabagua watumishi wa umma na ambao sio watumishi wa umma

    Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi. Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala...
Back
Top Bottom