Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela licha ya mamlaka kuarifiwa kuwa waliingia nchini kihalali.
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema...
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri...
Leo nimesome sehemu kuwa wabunge wamepinga ripoti ya mto Mara wanataka iundwe "tume huru." Kila mara tumekuwa tunasikia watu wakilalamika kuwa inatakiwa tume huru ya uchaguzi. Ninavyoelewa, tume kikundi cha watu walioteuliwa kufanya shughuli fulani kulingana na hadidu za rejea wanazopewa na...
George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania.
Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
Leo katika press conference yake Steve Nyerere ambaye ni kada wa CCM alijadili mambo mawili ya msingi na kudhibitisha kwamba Tume Huru ya ya uchaguzi haipingiki.
1. Kwanza kahoji kama Mbunge wa Muheza kupitia chama cha CCM, Mh Mwinjuma alishinda kihalali.
Hili ni muhimu, ina maana kuna Wana...
Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri.
Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda wanatimuliwa.
Tume ya uchaguzi iwe huru na matokeo ya Urais yaweze kupingwa mahakamani.
Mahakama ziwe huru na...
Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru.
Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru.
======
Samia...
Salaam,
Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku.
hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
Habarini wakuu,
Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi?
Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
TUNAANZA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
Hoja ya ACT Wazalendo Juu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.
Utangulizi.
Tangu kurejeshwa upya kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini, hoja ya kuanzishwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi na kuandikwa kwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi...
Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025.
Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.