Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi.
Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote.
Ndio nauliza...
Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi.
Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi wanaostahili kuongoza nchi kwa mujibu wa uelewa wa Watanzania.
Manake ni kwamba kabla hatujachagua...
Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi.
Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi hayo yamefikiwa na kikao cha kamati kuu.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilishatoa msimamo ke huo wa...
Kama hamtaanza sasa hadi mnahakikisha Tume Huru Ya Uchaguzi imepatikana, msije mkahamasisha watu kuingi kwenye uchaguzi, fanyeni juhudi za wazi zionekane ziwaridhishe wapiga kura, sasa hata kama imebadilishwa au haikubadilishwa wananchi watawaelewa kuwa mlipigania kiume kudai Tume hio.
Haya...
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.
Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
*MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi
Amewaomba wadau...
SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA"
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni.
Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
CUF CHAMA CHA WANANCHI
Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI .
MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi
Wenzetu wazungu (USA, U.K...
Ni dhahiri kwamba Tume Ya Uchaguzi iliyopo si tume huru kama misingi ya chaguzi za kidemokrasia inavyohitaji.
Mojawapo ya mapungufu ya tume yetu (NEC) ni kwamba watendaji wake wote wanachaguliwa na Rais ambaye pia
ni mmoja wapo wa wagombea. Watendaji hawa wanawajibika kwake na anaweza kuwaondoa...
Hakuna kubwa mbele za Mungu linalomshinda.
Mungu akiwachoka watu basi hakuna sababu itakayozuwia,akiamua lake hakuna litakaloshindikana.
Raisi wetu Magufuli wengi hatukutarajia kama atakuwa raisi,lakini angalia leo kawa raisi ingawa kulikuwa na vita kubwa huko juu wakati wa kumtafuta mgombea...
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa).
Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni...
NEC NA ZEC NI TUME HURU KWA MUJIBU WA SHERIA, NONGWA INATOKA WAPI?
Deogratias Mutungi
Uchaguzi wa kisiasa lazima uwe huru, na ni mtamu unapokuwa huru, maana unapokuwa huru unogesha demokrasia na mifumo yake, raha ya uchaguzi kisiasa ni kuwa huru, demokrasia ustawi na kunoga kisiasa endapo tu...
Mada inahusika.
Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na mapingamizi.
Jiulizeni yale mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hayakulenga kitu kweli? Kwamba ratiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.