Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience.
Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo
1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani
2. Serikali ina wajibu gani na...
Habari wadau.
Hivi haya madai ya tume huru ya uchaguzi sawa kama neno linavojieleza kwamba tume iwe huru lakini yaani kwamba wanaounda tume wawe watu gani kwa mfano?
Mimi kwa akili zangu za kawaida tume huru inamaanisha chukua watu toka nje ya bongo yaani nchi mbali mbali walete waje waunde...
Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.
Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
WARAKA [MWONGOZO]
UCHAGUZI MKUU WA TAIFA
OKTOBA 2020 TANZANIA
Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020.
UTANGULIZI
Ugonjwa wa Korona – COVID-19
Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili...
Habari waungwana?
Mara zote ukweli haupendwi na wapinzani na wanaCCM pia hawaupendi.
Ukweli ni kwamba CCM haiwezi kuondolewa kwenye dola kwa kutumia tume huru ya uchaguzi.
Simaanishi kuwa Tume huru ya Uchaguzi haina maana hapa nchini.
Nitaelezea hili kwa njia ya swali kisha msomaji utajibu...
ONYO KUHUSU MAANDAMANO YANAYOHAMASISHWA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kali kwa wananchi waliopanga kufanya maandamano leo yakihamasisha uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini.
RPC Mambosasa amefikia uamuzi huo baada...
Kichwa cha uzi huu ni synonymous na ujumbe mujarab kutoka kwa baba wa kupigania haki za Wamarekani weusi huko US, Dr Martin Luther King, Jr.
Hadi Barak Obama kuja kukubaliana kuwa rais wa taifa kubwa kama hilo haikuwa lelemama kabisa. Ama kina Condoleezza Rice na Collin Powell kushika nafasi...
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni mkubwa sana pamoja na uwepo wa vitisho kutoka vyombo vya dola. Imagine kusingekuwa na ukandamizaji huo...
Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
Heshima kwenu Ndugu wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020.
Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa.
Mosi ni Tume huru ya uchaguzi.Suala hili limekuwa likipigiwa debe na wadau mbali mbali wakiwemo wansiasa,viongozi wa dini...
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
Swali langu ni hili.....
Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
(Hotuba ya Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Maalim Seif Sharif Hamad,Mwenyekiti wa Chama Taifa Kuhusu Masuala ya Msingi Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020)
Ndugu Watanzania,
Kama inavyofahamika, 2020 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tanzania inatarajiwa kufanya uchaguzi wa madiwani, wabunge, wawakilishi na...
Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji.
Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya...
Watanzania wenzangu hili swali si kwa ajili ya wanasiasa au wanaharakati pekee - ni swali linalopaswa kuelekezwa kwetu sote Watanzania tunaotamani demokrasia, haki na utawala bora virejee na kutamalaki katika jamii yetu.
Tusitegemee hata siku moja eti walio madarakani watakubali kirahisi uwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.