Tunakusudia tume huru ya ukweli iliyoridhiwa na wadau wote was uchaguzi vikiwemo vyama vya siasa.
Hatukusudii hii ya Sasa ambayo mwenyekiti wa CCM ndio huwachagua mwenyekiti wa NEC na mkurugenzi wake.
Hatukusudii tume huru hii ya Sasa ambapo serikali ya CCM inakataa rulling ya mahakama ya...
Kichwa cha habari chahusika .
Natambua juhudi zote za kila mmoja ikiwa ni pamoja na serikali na Taasisi mbalimbali , zinazofanyika kwenye kuzuia na kupunguza na bila shaka kuondoa kabisa ugonjwa wa hatari wa virusi vya COVID - 19 , naunga mkono juhudi hizo kwa vitendo baada ya mimi pia
kugawa...
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
Katika kutafakari juu ya agenda ya vyama pinzani hapa Tanzania tunapoelekea Uchaguzi, nimewaza na kawazua bila kupata majibu juu ya yale yanayojiri kwenye vyama vyenyewe na kile wanachojaribu kushinikiza kifanyike!
Katika yote vifanyavyo hivi vyama vinajaribu kuhadaa watz kama mtakavyoona...
Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru ya kijaji kwa kuwatumia majaji wastaafu.
Wanasema majaji wastaafu wanaweza kutokuwa na upendeleo...
Vyama vya siasa vinavyo jitambua ambavyo vimeanzisha mchakato wa kudai Tume Huru ya uchaguzi vinaweza kucheza vizuri karata kama watamtumia Bernard Membe.
Namshauri Membe kutojiunga na chama chochote cha siasa ili kile anachokiamini kiweze kufanikiwa, apigane hii vita akiwa kama mwanaharakati...
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo
1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.
2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.
3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.
Kama chama...
Skia!
Enyi mlio jirani nae, mwambieni asiogope, mstueni janja yao wanajua hawana chao. Mwambieni ukweli kwamba the so called “Tume Huru (TH)” hiyo kwake ni mbachao, amkumbatie aende nae awaachie msala wao.
Wanatambua hawawezi na hawajui walitakalo, wameishiwa hadi nauli na chomboni...
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya, vyama vya upinzani visahau kushinda urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Kauli ya Kingunge imekuja siku moja baada Rais John Magufuli kumteua Jaji Themistocles Kaijage kuwa mwenyekiti...
Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania.
Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.
Sheikh Salum ametoa maoni katika mahojiano ya waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Katibu...
Kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, nilipost uzi unaosema kuwa CCM wameweka mapandikizi yao yagombee lakini niliishia kupigwa BAN ya miezi mitatu na hawa moderator mpaka uchaguzi ukaisha bila bila.
Sasa leo nawaambia hivi, CHADEMA na upinzani kwa ujumla mnatakiwa kutoa tamko la...
Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.
Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Leo Bunge limeahirishwa. Michango tumeiona kwa ubora tofauti. Hapa Ndani ya JF kuna watu wanashawishi watu fulani waende majimboni kuchukuwa nafasi za Ubunge.
Niliwaona Ukerewe wakiwaomba maprofesa, nawaona leo wana Karagwe wakimuita Profesa.
Ombi langu ni kwamba isiwe ni lazima kila jimbo...
Tumekuwa tukiwasikia viongozi wa Vyama vya Upinzani wakidai Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 uwe wa haki na huru. Sasa najaribu kutafakari, hawa vyama pinzani wataona uchaguzi wa 2020 kuwa upo huru na haki endapo watausimamia wenyewe?
Maana inafahamika sheria na taratibu za uchaguzi zilivyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.