tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ripoti ya Tume ya Mwakyembe ni another Professorial Rubbish

    Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share. Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa kutoka kwenye ripoti hiyo. Ama kwa hakika ni aibu mtupu yenye arrogance za kishamba. Izingatiwe...
  2. Profesa Lipumba alia na ucheleweshwaji Tume Huru ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema ana wasiwasi kama maazimio ya Wadau wa Demokrasia yatafanyiwa kazi. Amesema “licha ya dhamira ya Rais Samia na falsafa yake ya Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya, lakini suala la Tume Huru ya Uchaguzi...
  3. Olengurumwa: Huenda baadhi ya ripoti za tume na kamati zinazoudwa hushindwa kuwekwa wazi kwa sababu ya hofu

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
  4. C

    Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  5. Ni muda muafaka sasa kwa Tume ya Ushindani Tanzania FCC kulimulika swala la uwekezaji wa Mo Dewji Simba

    Wakuu Simba ni brand, siyo kikundi cha wahuni, na kila kilichopo Simba ni mali ya umma (wanachama). Hivyo kumpatia mtu hisa asilimia 49 kinyemela ni sawa na uhalifu. Tume ya ushindani unapaswa sasa kuingilia kati hili suala la uwekezaji la huyu bwana, maana inavyoonekana mazingira yake ni ya...
  6. Z

    Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  7. B

    Tume ya Kuchunguza kadhia ya Law School inapaswa kuwa huru

    Ni hatua njema kuwa umeonekana umuhimu wa uchunguzi kuhusiana na kadhia ya Law School of Tanzania. Dk Mwakyembe kuongoza uchunguzi malalamiko mtihani Uanasheria "Hata hivyo kunahitajika tume huru si tume tu kwa jina." Ikumbukwe Dr. Mwakyembe amekuwepo sana UDSM Faculty of Law, ambao wao (eti)...
  8. N

    Aibu na comedy za siasa Tanzania: CCM watumia vifaa vya tume ya uchaguzi

    NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza umwagaji damu, ukigeuka huku unakuta TCRA wanakaushia habari ya mwananchi yenye angle ileile...
  9. Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

    Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa...
  10. Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

    Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga. Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
  11. Dkt. Stergomena ashiriki Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja Baina ya Tanzania na Msumbiji

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
  12. Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
  13. Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura

    Mgombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Rosemary Linda ameomba kuwe na tume uhuru ya kuhesabu kura ili kuondoa dhana ya kuibiwa kura. Rozimele ametoa kauli hiyo leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 mara baada ya kujitambulisha kama...
  14. B

    CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  15. Nigeria: Tume ya Uchaguzi imetangaza majina 18 ya Wagombea wa Urais

    Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic Party (PDP) na Gavana wa zamani wa Lagos, Ahmed Bola Tinubu, wa Chama Tawala cha All Progressives...
  16. T

    Afisa wa tume: Tume yetu ya uchaguzi haina tofauti na ya Kenya

    Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu. Inaonekana huyu afisa...
  17. M

    Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  18. Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  19. Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  20. Kenya 2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…