Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais.
Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene bungeni leo...
Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu.
Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
Moshi. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah.
Taarifa zilizopatikana jana zilisema tume hiyo iliwasili katika Mji wa Himo Mei 26 mwaka huu...
Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali.
Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
Hivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but we have no money!! Na utakuta project yenyewe hai gahrimu hata 20M kwa ajili ya development kwa...
Wakili wa Kujitegemea Zadock Magai amependekeza marekebisho kwenye Kifungu cha 148(4) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ili kuipa mahakama mamlaka ya kuamua kutoa au kutokutoa dhamana kwa mshtakiwa.
Wakili Magai ametoa mapendekezo hayo katika Tume ya Hakijinai iliyoundwa na Rais Samia...
Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA".
Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali."
Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani.
Bila...
Habari!
Hali ni mbaya sana.
Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti vingapi wanapohitaji huduma kwenye ofisi za umma?
Serikali iunde tume ya kuchunguza urasimu na...
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani.
Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi...
Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue.
Lengo kuu ni kuangalia kwa...
Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2.
Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.