tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Hivi Tume za Uchunguzi zinazoundwa na Mamlaka lengo lake ni kutuliza upepo au kuzima matukio?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume. Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
  2. R

    Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

    Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru! Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche...
  3. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  4. Roving Journalist

    Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) yatakiwa kuwa na mfumo madhubuti wa kuratibu utafiti utakaosomana na Taasisi nyingine

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo ameitaka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuwa na mfumo mathubuti wa kuratibu tafiti utakaosomana na Taasisi nyingine zinazofanya tafiti. Agizo hilo limetolewa Julai 31, 2023 mjini Morogoro katika Kikao kazi cha...
  5. Lord denning

    Wizara ya Mipango na Tume ya Mipango anzeni na hili

    Mwaka 2016/17 Serikali ikifanya maamuzi rasmi ya kuhama Dar es Salaam na kuhamia Dodoma. Uhamaji huu umepelekea majengo mengi sana ya Jiji la Dar hasa katikati ya Jiji na maeneo ya Jirani kuwa matupu. Mengi hayana wapangaji na kiukweli ni kama yameachwa tu! Sote tunafahamu, Dar es Salaam ni...
  6. J

    Tume ya Haki Jinai yataka uchunguzi mali zilizotaifishwa

    TUME ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai imependekeza iundwe timu kuchunguza utata katika baadhi ya mali zilizotaifishwa katika utaratibu wa vikosi kazi na mashauri ya kukiri kosa ili kuishauri serikali ipasavyo. Katika muhtasari wa ripoti ya tume hiyo, pia imependekeza Ofisi...
  7. R

    Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yasisimamiwe na hawa wazee; umri umeenda wanahitaji kupumzika. Kazi hii wapewe vijana ni ngumu sana.

    Nampongeza Mhe. Rais kwa kuona umuhimu wa kuunda sub committee za kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya haki jinai Lakini nadhani kuna jambo ambalo Mhe. Rais alipaswa kuliona; kamati ina wazee wengi kuliko vijana: waliochakata na kuandaa taarifa naamini ni sekretarieti na ndiyo maana...
  8. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  9. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Kila Mtanzania awe na namba moja ya UTAMBUZI maisha yake yote

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema kuwa tume inapendekeza Mifumo ya huduma za kijamii na kibiashara zifungamane na mfumo wa utambuzi wa usajili wa makazi, RITA, ardhi na NIDA ili kila Mtanzania awe na namba moja ya...
  10. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume Tume hiyo iliundwa Jan...
  11. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Wakuu wa Mikoa/Wilaya wanatumia vibaya mamlaka ya kukamata na kuweka watu maabusu, waondolewe hayo mamlaka

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amebainisha kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanalalamikiwa kutumia vibaya madaraka yao ya kukamata na kuwaweka wananchi maabusu kwa mujibu wa Kifungu cha 7 na 15 cha Sheria ya Tawala za...
  12. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Vyombo vya Ukamataji hutumia nguvu na kutesa Watuhumiwa

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  14. K

    Tume ya utumishi wa umma

    Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.
  15. Mdude_Nyagali

    SoC03 Mapendekezo ya kuunda Tume ya Uchaguzi

    Kutokana na mahakama ya Africa kutengua wakurugenzi kusimamia uchaguzi Tanzania na kuagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi ndani ya miezi 12 nilikuwa na mapendekezo yafuatayo. Napendekeza tume ya uchaguzi iundwe katika mfumo ufuatao. 1. Tume iwe na wajumbe 10 ambao...
  16. Suley2019

    KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  17. T

    Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali yashauriwa kuongeza bajeti kwenye tume ya taifa ya matumizi bora ya ardhi

    MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma "Namshukuru...
  19. S

    Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  20. BARD AI

    Nigeria: Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Rushwa na Uhujumu Uchumi asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Rais #BolaTinubu amechukua uamuzi huo dhidi ya Abdulrasheed Bawa ili kuruhusu uchunguzi kuhusu kashfa za matumizi mabaya ya madaraka na ofisi zinazomkabili zifanyiwe kazi na mamlaka zilizoteuliwa. Ingawa ni kawaida kwa #Nigeria kumuondoa kwa muda Kiongozi wa Tume hiyo kila utawala mpya...
Back
Top Bottom