Mgombea binafsi ni yule ambaye hatumii tiketi ya chama chochote ili kuweza kugombea nafasi ya kisiasa kama Urais na Ubunge. Kenya Walipitisha sheria hii March mwaka huu na wameidhinishwa wagombea Urais na ugavana bila kupitia chama chochote.
Wagombea 38 wameidhinishwa nafasi ya Rais nchini...
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri...
14 May 2022
Malalamiko Ya Wabunge Baada Ya SRC Kupunguza Mapato Yao Ikiwemo Posho Za Vikao Vya Bunge kufutwa
WABUNGE wamelalamikia hatua ya Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu ya Watumishi wa Umma (SRC) kuondoa au kupunguza marupurupu ambayo wamekuwa wakipokea.
Aidha, wamekerwa na hatua...
Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo
1. Maswali kutokana na hii kazi
2. Kiwango cha mshahara
3. Nizingatie nini...
Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote.
Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi.
Hata hivyo imeonesha...
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.
Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe
Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022
Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU
I repeat a call...
Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli.
Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa.
Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita.
Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania.
Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
38 Jobs at Judicial Service Commission/ Tume Ya Utumishi Wa Mahakama March, 2022
The Judicial Service Commission is a body created in accordance with paragraph 112 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania for the year 1977. In addition, Judicial Administration Act No. 4/2011...
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.
Sasa hivi tuko kwenye uozo:
Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.
Tuelewane:
"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.