Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media
https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100...
Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini.
Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.Nyu mba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo...
Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako
Kufutia kuumwa kama tulivyoambiwa na familia ugonjwa wa changamoto ya kupumua, Mama yetu Mghwira Mungu...
Wanaukumbi.
Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia.
Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye...
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?
Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo.
Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
Nimejaribu sana kutafakari huu ujinga utaisha lini, lakini sioni hata dalili yaani!!
Katika jamii yetu hasa afrika Tanzania hatupendi kabisa kukubali ukweli!
Mwenzetu akifanikiwa kipesa (hatukubali moja kwa moja), Kauli zetu nyingi midomoni utasikia " Yule jamaa kama siyo Freemasonry basi...
Ukiona anayehojiwa au Kuulizwa Maswali anayajibu kwa Furaha, hatetemeki, anatingisha Miguu yake kama yupo Sebuleni Kwake na Familia yake, hatokwi na Jasho, hapandwi na Hasira mpaka anadiriki kuomba maswali ya Nyongeza huku akiishia Kuwakaribisha Chakula ili mvimbiwe vizuri kwa Uroho wenu jua...
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.
Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi.
Tunataka siku mkianza kulia tulie...
Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe.
Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone.
Hizi interface za...
Narudia kusema kama kuna Chama ambacho hakifai hapa Tanzania basi ni CHADEMA. Kimejaa wanasiasa wanafiki na wasaka matumbo.
Leo hii Chadema wanalegezewa na CCM ili ionekane Mama Samia ni mpenda haki na Demokrasia? Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Tumesahau harakati zao za chini ya kapeti...
Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa.
Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
Free will is the capacity for agents to choose between different possible courses of action unimpeded.
Free will is closely linked to the concepts of moral responsibility, praise, guilt, sin, and other judgements which apply only to actions that are freely chosen.
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:
1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page
Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.
1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70.
Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na kuingiza mabilioni ya fedha za kigeni.
Tuna ama Jodari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.