Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake.
Kuna Mwanaume Mmoja...
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa...
Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji.
Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani.
1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu.
2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei...
Wote tuliokulia miaka ya 60, 70, 80 tunajua vyema, wakati huo Tanzania ilikuwa 'jogoo' katika ulinge wa Kimataifa. Hivi kwamba, katika mahafali ya Kimataifa Tanzania ikimwunga mkono mtu, nchi hivyo hivyo mataifa duniani yatafuata na kumpitisha.
Sina haja ya kuelezea mapambano ya Tanzania dhidi...
Kuna jambo la kustukiza sana katika miaka ya hivi karibuni kuanzia 2010, kuna hawa jamaa wanaitwa wakinga wamejipatia umaarufu ndani ya miaka hii michache kwa spidi ya 4g.
Ni kabila dogo sana ambalo haliingii hata kwenye orodha ya makabila 20 yenye watu wengi hapa nchini, Ni kabila ambalo lipo...
Kwema wadau!
Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
Tukianza kwa kufahamu viwanda jinsi vilivyo chambuliwa.
Tuna manufacturing industries (viwanda vikubwa vya utengezaji).
Retail industries (viwanda vidogo vya reja reja ).
Alafu tuna viwanda vingine ambavyo havipo kwenye makundi hayo mawili( rest of the world industries)
Kwa jina la kiswahili...
Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??
Zifuatazo ni bei
Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes
rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
Huko kwenu majirani hali ikoje??
Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji.
Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha uamuzi wa mahakama.
Nilichojifunza ni kwamba kwenye mivutano yetu ya mipaka kinachoweza kukusaidia...
Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano.
Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano:
Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako.
Pumzika kwa...
Tuna viongozi wasio na sifa ya kuongoza
WEDNESDAY SEPTEMBER 29 2021
Summary
Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni katika siasa au serikalini, njaa yetu ya kupata viongozi bora ni kubwa sana
By Mwandishi Wetu
More by this Author
Dunia ina njaa na kiu ya viongozi bora. Iwe ni...
Kubali ukatae asilimia 90 ya sisi members wa jf ni stressed people hebu ona. Magret thinkers tunapoangukia ilinujue tuko stressed.
1. Wengi tuna kazi Bora. (Kazi huleta stress)
2.wengi tuna pesa.(pesa huleta stress)
3.Wengi tuna ndoa (ndoa huleta stress)
4. Wengi tuna chepuka.(kuchepuka huleta...
Tanzania tuna vichambuzi uchwara vya michezo. Eti mtu akishawafahamu wachezaji 10 wa timu za Ulaya eti anatafuta kiredio uchwara nae akachambue habari za michezo. Ni watu wanaokatisha Tamaa wachezaji, makocha, na wadhamini wa timu. Wanagombanisha wachezaji kwa wachezaji, wachezaji na makocha...
Sasa hivi kumezuka mtindo wa wanawake kutugeuzageuza Kama tunachomwa sisi ni chapati. Mahitaji yao ya kuridhishwa kingono na kimaslahi yanaongezeka na kubadilika kila kukicha. Zamani MAPENZI tu yalitosha kufanya mwanamke aishi na mwanaume sasa hivi hali ni tofauti kabisa. Wanawake sasa wanataka...
Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La.
Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi.
Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.