Siku moja nilibahatika kukutana na waziri fulani (jina kapuni). Nikamuuliza kwanini Wazanzibari wanachukua ardhi yetu hapa bara wakati Wabara hatuna haki ya kupata ardhi Zanzibar?
Akanipa jibu hili "Kijana Acha CHOKOCHOKO" alinikera sana, walio kuwepo watakumbuka.
Mzee mwingine wa kanda ya...
Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao kimewageukia Tanganyika, Tanganyika inakamuliwa vibaya mno aisee japo kwa wazanzibari malalamiko yao ni...
Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku.
Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio.
Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA.
Tunaomba wafike saiti waangalie.
Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunua umeme unawatesa wapangaji, kwa kuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?
Juzi nilikuwa nanunua umeme wa Tsh. 5,000 ukagoma, nikaongeza wa 1,000 ukagoma. Nikaweka 12,000 ndipo wakakubali tena umeme wa...
Wakuu, nipo Dodoma kwenye kongamano la Tathmini na Ufuatiliaji lililoratibiwa na Tanzania Evaluation Association.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la anuani za makazi limefanikiwa kwa 85% na amesema zoezi la sensa litafanyika kielektronik hadi huko kijjijini. Japo sijaelewa ni namna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.
Taarifa: Ikulu Tanzania
Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo.
Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu.
Huko ni...
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba.
Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana.
Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
Duniani kote hatua kubwa za kimaendeleo zinaathiriwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa kisiasa. Hawa ndio hutoa maamuzi ya mwisho kuhusu mstakabali wa Taifa. Hivyo tutake tustake lazima viongozi wetu wakuu wa kisiasa wawe akili kubwa, na wawe weledi.
Anzia Marekani, njoo Uingereza, pita hapo...
Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka.
Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka.
Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila
Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo
Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha
1. Utoaji wa Tuzo
Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania.
Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili
Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...
Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya
Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.