Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo
Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao...