tunahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bagabeach

    Msimu ujao 2023/2024 Simba tunahitaji sajili hizi ili tuwe imara

    Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao, Binafsi napendekeza 1. Feisal Salum (feitoto) 2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal 3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal. Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
  2. Heart Wood.

    Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  3. Lord denning

    Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kati ya vitu vinavyofanya sisi waafrika tuendelee kuwa maskini ni kutotumia akili zetu vizuri na pia kupenda sana madaraka/ vyeo. Nimefuatilia kwa muda sasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na nilichogundua ni kuwa wale wengi wanaotaka Zanzibar iwe na Serikali au Tanganyika iwe na...
  4. briophyta plantae

    Tunahitaji elimu ya aina gani kwa karne hii tuliyopo?

    Ni kwa muda mrefu sasa tumekuwa katika aina na mfumo ule ule wa elimu na mrejesho katika matokeo yake umekuwa mdogo sana.je tunahitaji kubadili nini na tunahitaji aina gani ya mifumo ya elimu itakayotuletea mabadiliko ya kweli? Tupo katika karne nyingine kabisa na kizazi tofauti kabisa, je elimu...
  5. MIXOLOGIST

    Je, tunahitaji divine intervention and miracles kusuluhisha matatizo ya kibinadamu?

    Amani iwe nanyi wana JF Tukiwa katika kipindi cha kwaresma kwa sisi wakristo na ramadhani kwa wenzentu waislamu. Ni vyema kukita tafakari zetu kwenye mambo yenye upako. Hakika mwenye-enzi Mngu ni mwema siku zote, yeye ndiye autujaliae uhai na afya njema kwa wale awapendao na pia anayejua...
  6. Hemedy Jr Junior

    Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  7. K

    Je! Tanzania tunahitaji wasomi wengi au Hustler wengi?

    Tatizo la Afrika kwa mawazo yangu sio kutokuwa na wasomi wa kutosha bali tuna matatizo makubwa matatu 1. Kutokuwa ma maarifa 2. Utamaduni wa kupuuza -Sheria, wezi, rushwa.... 3. Ubinafsi- Mfano Rushwa Wasomi wetu wengi ambao ndiyo viongozi wamekuwa wabinafsi kiasi kwamba wanaweka upendeleo kwa...
  8. B

    Tunahitaji Katiba yenye kutuwajibisha sote kwa Umma

    Tumeyasikia Ugiriki: Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa. Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika? Ndiyo maana watu watatekwa, pesa zitaibiwa, ajali zitatokea, nk, yaani mambo shaghala bagala. Uwajibikaji au matumaini ya...
  9. Msanii

    Tanzania tunahitaji ofisi huru ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Tumeishi miaka hii ambayo mengi yanayotokea mbele ya macho yetu yanatoa fundisho kubwa sana kwetu na vizazi vijavyo. Nimesikia na hata nimeshiriki kampeni za kutaka tuwe na TUME HURU ya Uchaguzi. Sambamba na hilo tumebananishana na chama letu la ajabu ajabu (CCM) likubali mchakato wa katiba...
  10. kavulata

    Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  11. Dr. Zaganza

    Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

    Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi : Kibaha hadi Kibamba Sifa: Awe anajituma Mshahara : Maelewano Piga : 0713-039 875 kwa...
  12. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  13. Abraham Lincolnn

    Watanzania tunahitaji maji, umeme wa uhakika, huduma bora za kijamii na uchumi imara siyo kutafuta sifa za kisiasa kwa kufurahisha magenge

    Nyerere aliwahi kutamka wazi, Kwamba maadui watatu wa taifa letu ni maradhi,ujinga na umasikini.Hivi vinapaswa kuwa kipimo kwa kiongozi yeyote aliyepo madarakani. Ni ukweli kwamba siasa zina umuhimu na nafasi ya kipekee katika kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli, Lakini porojo zisizo na...
  14. Analyse

    Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

    Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo. Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
  15. S

    Bandari inatosha kuendesha uchumi, tunahitaji maamuzi ya kimapinduzi tusirudie yale ya TICTS

    TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati. Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara kwa nchi za Zambia, Zimbabwe, DRC, Malawi, Burundi, Rwanda na hata Uganda. Hivi Karibuni nikiwa...
  16. K

    Kuitwa Dkt kumekuwa fashion za kisiasa. Wananchi tunahitaji matokeo

    Najua Tanzania kuanzia wakati wa Kikwete imekuwa kama sifa kuwa na PHD hata kama ni za kupewa, kupendelewa au kununua. Kwa wanajua elimu huwezi na ni vigumu kuweza kupata PHD ya kweli wakati wewe ni waziri. Kuna mawili kama umepata PHD yako kama waziri kwanza inawezekana hufanyi kazi yako vizuri...
  17. BigTall

    ‘Mwanaharakati’: Msamiati uliopewa mtazamo hasi - Tunahitaji mgongano wa kimawazo ili Nchi iweze kusonga mbele

    ‘Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. ‘(2) Kila raia anayo haki ya...
  18. Ileje

    Tunahitaji katiba iliyo juu ya watawala

    Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali. Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba. Tunahitaji katiba mpya...
  19. blogger

    Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini. Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa...
  20. Mbwilimbwili

    Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
Back
Top Bottom