Haina ubishi nafasi ya Uraisi inaweza kuwa ngumu.
Ila Kwa wabunge Chadema msituchezee akili tunahitaji watu wa kuisimamia serikali.
Naona Zitto anajipambanua kama kinara wa upinzani Kwa Sasa lakini ni empty kabisa pandikizi la CCM Kila mtu anajua.
Najua siku chadema wataanza mikutano ya...
Nikiangalia ndugu zangu wakiomba omba kwa matajiri wa Kihindi. Nachelea kusema majority hatuhitaji demokrasia Bali Chakula tushibe Kwanza.
Haya ya kupiga Kura sijui tume huru ya uchaguzi yanataka watu washibe kwanza.
Kurasini, yupo tajiri anatoa msosi kila jioni (wali-maharage) hiyo nyomi...
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa?
Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimebarikiwa vijana wapambanaji sana.
Hii ndio nguvu kazi ya taifa na ndio chanzo halisi cha pato la taifa kutokana na jasho lao linalovuja kila uchwao.
Wapo vijana wakulima, wavuvi, wafanyabiashara, wapiga debe na wengine wengi.
Picha kutoka...
UTANGULIZI
Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.
1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini.
Kwanza nikili sijawahi kumuona na Wala simfahamu na ikitokea tumekutana sehemu ambapo hakuna shughuli kubwa ya kiserikali naweza...
Habari JF ,Kiuhalisia unapozungumzia sifa NZURI za kiongozi hasa kwa Ngazi ya Urais huwa Hatuna kiongozi Bora ila tuna Mwanasiasa Bora au Kiongozi Mzalendo.
Kiongozi bora maana yake ni Mwanasiasa Bora na ni Mzalendo pia kupata mtu mwenye sifa hizi Mbili ni Ngumu sana kwa hiyo ni either utapata...
Haiwezekani mtoto huyu anasoma mambo A na mtoto mwingine anasoma mambo B, alafu mwisho wa siku tunawapa wote mtihani mmoja na kusema huyu kawa wa kwanza na huyu wa mwisho.
Kwanini tusiwe na comprehensive material moja ambayo kila mtoto ana access nayo na mitihani yote inatoka humo.
Haiwezekani...
Hello Great Thinkers.
Leo nimefikiria kitu nikaona nikilete ili tujadiliane kwa mapana kwa ajili ya Ustawi wa Nchi yetu.
Nimeona tuwe na hivi Vyuo vya Ufundi Stadi vingi nchini Tanzania.
Viwe vinatoa courses kama Upishi,Ushonaji,Make up,Kupaka rangi Nyumba,Umeme,n.k
Vyuo hivi Ada yake iwe...
Habari wana-Jukwaa.
Nipo najiuliza maswali mengi sana kila nikiingia sehemu nikaona Mapungufu flani,nikitoka nawaza hivi lini na sisi tutakua kama Nchi Flani nikitoka sehemu hio nikipita sehemu Nyingine nikiona Tatizo najiuliza Lini tutakua kama Nchi Flani,Saivi ni miaka 60+ tokea tupate Uhuru...
Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi.
Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona.
naweza...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema nchi yake inahitaji silaha zaidi kwa ajili ya kundelea kupambana na Urusi kauli ambayo amesema inalenga washirika wake wenye nia ya kuwasaidia.
Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea eneo la mapambano Mji wa Kharkiv, Mei 28, 2022 na kuzungumza na...
Wadau,
Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii.
Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo:
1. Suruali
2. Makoti ya wapishi wa hoteli
3. Mashati
4. Apron
5...
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:-
1. Wavivu
2. Wezi na sio waaminifu
3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi.
Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na...
Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura.
Lakini kama taifa...
Kihistoria hizi shopping zilianzishwa baada ya wazungu wengi huko US kuanza kuishi nje ya mji (suburban). Hizi nazo zikawekwa maeneo ya huko.
Watu walifuata huduma hapo na magari na ndiyo kisa cha malls kuwa na parking kubwa sana. Kwa hiyi hizi malls huwa zinachukua eneo kubwa sana, eneo la...
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
Kwako mheshimiwa, pole na majukumu ya kujenga taifa na pia hongera kwa kazi nzuri unazofanya. Mheshimiwa tunahitaji msaada
wako wa kupata haki yetu (tumedhulumika).
Tumefanya kazi, hatujalipwa fedha tulizofanyia kazi mpaka sasa. Tuliongea na Fanuel
Sabini (Facebook anatumia jina la Seven Sabini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.