Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikono….
Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni...