Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.
Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.
Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.
Naona Simu...
Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama.
Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?.
Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote.
LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
Wakuu
Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa.
Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana ameshawahi kuchungulia kifo na sasa hivi anaendelea na maisha
Siasa ni mazungumzo kati ya pande mbili zenye mirengo inayokinzana, kwa lengo la kutafuta masuala kadhaa ya kuwaunganisha pamoja na hivyo kutatua migogoro.
Tanzania hakuna vikundi vya watu wanaobeba silaha (waasi) kukabiliana na serikali, bali kuna vyama vya kisiasa. Hii maana yake ni kwamba...
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii.
Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya
1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi kutenda Haki,
2. Kufuta Kabisa Uchawa- Rais huyu mpya atafuta uchawa na kusifia Kila kitu na mtu...
https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb
➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...."
➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa..
➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
Hii sasa ni balaa, speed inatisha.
Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu.
Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania.
Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
=>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY?
=> Mshindi Huwezi Kumshusha.
=> Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
=> Mshindi Huwezi Kumtishia.
=> Mshindi Huwezi Kumshinda.
#Said, Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.