Hali ya Demokrasia na Utawala Nchini Tunisia inaendelea kuwa tata baada ya Rais Kais Saied kuwafuta kazi Majaji 57 akiwatuhumu kwa Ufisadi na kulinda Magaidi
Rais Saied ambaye mbali na kuvunja Bunge liliyochaguliwa na Wananchi, kuweka kando Katiba ya Mwaka 2014 na kuingilia Tume Huru ya...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
Rais wa Tunisia, Kais Saied ametangaza mpangp wake wa kuiandika upya Katiba ya Nchi yake
Akitoa salamu za Sikukuu, Rais Saied ambaye alivunja Baraza la Mawaziri na Bunge amesema kamati itafanyia kazi suala hilo na italikamilisha ndani ya siku chache zijazo.
Hakusema ni jinsi gani katiba hiyo...
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe
Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili.
Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya.
Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
Rais Kais Saied amesema Bunge la Nchi hiyo litaendelea kusimamishwa hadi Uchaguzi mpya ufanyike mwaka mmoja kutoka sasa. Pia, ameeleza kuhusu mipango ya Kura ya Maoni ya Katiba mwaka ujao
Tangu aliposimamisha shughuli za Bunge na kumfukuza kazi aliyekuwa Waziri Mkuu, Rais Saied ameendelea...
Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili...
Takriban Wiki 11 baada ya Rais Kais Saied kumfukuza kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge, kitendo kilichofanya ashikilie Madaraka yote, Taifa hilo limetangaza Serikali mpya
Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden amesema kipaumbele kikubwa cha Serikali hiyo kitakuwa kupambana na ufisadi...
Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia
Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka
Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25
Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.
Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.
Hongereni sana Simba na Vunja bei.
Serikali ya Tunisia imeidhinisha hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa mgombea urais wa nchi hiyo kwa mwaka 2019, Nabil Karoui pamoja na kaka yake ambaye ni Mbunge, Ghazi Karoui kwa kosa la kuvuka mpaka wa nchi hiyo kwa njia haramu (pasipo vibali) hali iliyopelekea kukamatwa kwao na kuwekwa kizuizini...
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.
Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga...
Rais Kais Saied ameongeza muda kusimamishwa kwa Bunge. Mwezi Julai, alimfuta kazi Waziri Mkuu na kuchukua Mamlaka ya Utendaji, hatua ambayo wapinzani walisema ni Mapinduzi.
Ikiwa ni Mwezi mmoja baada ya kufanya maamuzi hayo, Rais Saied bado hajateua Waziri Mkuu mpya au kutangaza Mwongozo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.