Ni usiku mkubwa, wa pambano la kati ya Mike Tyson na Sheldon. Ni usiku ambao ulitokea tukio moja kubwa na la kusikitisha sana kwenye ulimwengu wa muziki. Huku pambano likiwa limemalizika na watu kurudi majumbani kwao na wengine kuendelea kula bata katika hoteli kubwa ya MGM, milio ya risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.