Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.
Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse amesema wanafuatilia madai ya kutekwa kwa Mtanzania, Twaha Mwaipaya huku vuguvugu la kisiasa la Linda Mwananchi nchini humo likilaani tukio la kutoweka kwa mwanaharakati huyo.
Mwaipaya aliyewahi kuwa Mratibu wa Hamasa wa Baraza la Vijana la...