Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu π wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana,
Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka yule jamaa akanunua sasa naona vitu vipya nimeingia vizuri sasa kimbembe kinakuja kwenye following...