Elon Musk amemteua Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Twitter, ikiwa ni zaidi ya miezi sita baada ya kuinunua kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii.
Bilionea huyo amesema Linda Yaccarino, mkuu wa zamani wa matangazo kutoka NBCUniversal, atasimamia shughuli za biashara katika tovuti hiyo, ambayo imekuwa...