PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka chochote zaidi ya kutegemea mazuri kutwa nzima.
"Siyo mimi ni wewe" Nilipokea ujumbe kwenye simu...