Tarehe 25 Mei inatimia miaka mitano tangu Mmarekani mwenye asili ya Afrika George Floyd auawe na polisi kwa kukabwa na goti.
Tukio hili lilisababisha maandamano makubwa kote Marekani na hata katika nchi nyingine duniani. Hata hivyo, sasa miaka mitano imepita, ubaguzi wa polisi dhidi ya Waafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.