Sina maana ya kuwa mmbea ama kumkandia dada yangu ila hii ndio hali halisi ya matatizo haya ya sasa yanayofanya ndoa nyingi kubomoka, mimi nimeleta case study.
Mifano ipo mingi sana juu ya wanawake wasomi wa vyuoni kuwa wasumbufu kwenye ndoa ila wacha niweke kisa cha mtu naemjua kabisa wala si...
Dhana Mbaya ni Ile hali ya kuwafikiria wenzako vibaya juu ya Tabia zao au Matendo Yao Fulani pasina kuwa na ushahidi wowote ule.
Hii ni dhambi miongoni mwa madhambi ambayo Kwa Mwenyezi Mungu ni makubwa mno, kibinadamu tunaweza kuchukulia ni jambo dogo lakini Kwa Mola wetu ni kubwa mno...
Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu:
1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
Wanabodi
Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
Habari wakuu?
Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home.
Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________
Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,
#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa.
Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza...
Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri.
Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.
Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
#Kutoka_mwanasport
Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison.
Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.
Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM.
-Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c
-CUF, NCCR, Chadema,
Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni...
PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
bmw
discovery
dualis
fuso
isis
mark x
mazda
nissan
nissan dualis
note
offa
pdf
raum
scania
series
spacio
subaru
subaru forester
suzuki
toyota
ubaya
ufupi
ushauri
volvo
wapenzi
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?
Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅
Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu
Kumebadirika nini leo...
Mbona watz mnakuwa watu msioeleweka kivile.
Yule mlimwita Baba Haambiliki ,Magufuli hasikilizi ushauri na sasa mkipata aliekubali kukoselewa ,nafikiri huwaga mara nyingi hugusia yupo tayari kukosolewa bado kwenu imekuwa shida,akitokea mtu kumkosoa au kwenda kinyume na Raisi mnapiga makelele na...
Abuu Kauthar
Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.
Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.