Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha
Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele
Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...