ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kilwakivinje

    tukikosa ubingwa tutasingizia jiesiem

    Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini. Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
  2. S

    Simba fanyeni maboresho ya kikosi vinginevyo tarehe 08 Machi 2025 tunakwenda kumpa ubingwa Tena Yanga

    Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
  3. MwananchiOG

    Mara ya mwisho Simba kutwaa ubingwa wa Ligi hali ilikuwa hivi

    Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -; 1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza 2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM 3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi 4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa 5.Billnas alikuwa...
  4. M

    Wataalamu wa 'Vijiti' ndio watakaoipa ubingwa Simba au Yanga msimu huu, hakuna tena ufundi uwanjani

    Sasa hivi kinachoendelea katika ligi yetu sio kitu cha kawaida, sio tena uwezo wa kocha wala wachezaji, ndio maana unaona kocha anafukuzwa leo na kesho timu inapata matokeo kama kawaida, kocha wala sio ishu hapa bongo, ishu iko kwa wataalamu wetu wanaojua kuchomeka vijiti kwenye mageti, golini...
  5. Smt016

    Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  6. mdukuzi

    Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+ Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke. Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
  7. kipara kipya

    Simba anatwaa ubingwa 2024/25 wala halihitaji ramli!

    Wengi wanaponda upangaji wa kikosi wa mwalimu fadlu davis mbinu zake,kwanza kabisa mimi sio shabiki wala mpenzi wa klabu ya simba mimi ni shabiki na mwanachama wa Coastal union mangushi ya Tanga ila sasa navutiwa na timu ya mkoa wangu wa asili Tabora united. Niseme ukweli bila kupepesa Simba...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  9. The Mongolian Savage

    Vita ya Iran na Israel kuikosesha ubingwa Liverpool

    Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati. Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia. Kwa...
  10. Jaji Mfawidhi

    Camara aikosesha Simba Ubingwa 2024/25

    Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena. Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga. Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo...
  11. Dalton elijah

    Zamalek Yatwaa Ubingwa Wa Super Cup

    Klabu ya Zamalek Imefanikiwa kutwaa Ubingwa Wa Super Cup Mara Baada ya Kuwafunga Mahasimu Wao Wa Jadi National Ahaly. Mechi Ilitamatka Kwa Kutoa Suluhu ya Goli Moja Kwa Moja Ndani ya Dakika Tisini Na Mchezo Kuamuliwa Na Penati Ambapo Zamalek Amefanikiwa Kupata Penati 4 Kwa 3 Soma Pia: Al Ahly...
  12. ngara23

    Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

    Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya Simba aaaa yupo yupo anakimbiza hadi mwisho wa touch line Azam itabaki team ndogo Mwaka Jana...
  13. Sodoku

    Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  14. Waufukweni

    Rais Samia ameizawadia Serengeti Girls Milioni TSh 30 kwa Kutwaa Ubingwa wa Unaf

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita. Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
  15. Stephano Mgendanyi

    Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  16. Pdidy

    Kwa Yanga hii wanawaza unbeaten sio ubingwa tena

    Ubingwa 💯 Hapa tunahaha kupata un beaten za maana
  17. J

    Owen aitabiria Arsenal ubingwa EPL akiitosa Man United top four

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Michael Owen ametabiri Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao wa 2024/2025 huku akishindwa kuiweka Man United katika orodha ya timu nne zitakazomaliza katioka nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo. Owen ambaye pia...
  18. GENTAMYCINE

    Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  19. NALIA NGWENA

    Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

    (1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na...
  20. Mcheza Piano

    Murtaza Mangungu: Kiongozi pekee anayeweza kuipa ubingwa wa Africa timu ya Simba

    Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
Back
Top Bottom