ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Je Bayer 04 Leverkusen kubeba ubingwa wa Bundesliga Leo?

    Bayer 04 Leverkusen leo ipo uwanjani kukipiga na werder Bremen majira ya saa 06:30 pm (12 na nusu jioni). Ikumbukwe kwamba Bayer Leverkusen wanaongoza ligi ya Bundesliga wakiwa na point 76 huku wakiwa wamecheza michezo 28 na huu wa Leo utakua wa 29. Nafasi ya pili wapo Bayern Munich wakiwa na...
  2. Pdidy

    Narudia tena kama Matola yuko pale vs Kocha wa kigen Simba mtasikia ubingwa wa Jackpot

    Simsemi kwa ubayaaaaaa Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench Sioo kwa nia mbaya nakupaa homework fwatiliaaa NIKOPALE KWA wakala ...... KABLA ya Aug BENCHIKA ATAKUWA SIMULIZI PALE...
  3. FRANCIS DA DON

    Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  4. M

    Vituko vya mamelodi mwaka 2016 alitolewa Champions league kisha akaenda akatolewa kombe la shirikisho. Maajabu akatwaa ubingwa wa champions league

    Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana. Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016. Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
  5. JanguKamaJangu

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  6. GENTAMYCINE

    Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  7. Majok majok

    No consistency no ubingwa viwanja tutahama sana safari hii

    Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku! Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
  8. JanguKamaJangu

    Timu 3 zinazowania ubingwa Premier League 2023/24, Mechi zilizosalia 2024, nani atabeba ubingwa?

    Liverpool Machi 10 Man City (N) (imeahirishwa) Everton (U) Machi 31 Brighton (N) AprilI 4 Sheffield Utd (N) Aprili 7 Man United (U) AprilI 14 Crystal Palace (N) Aprili 20 Fulham (U) Aprili 27 West Ham (U) Mei 4 Tottenham (N) Mei 11 Aston Villa (U) Mei 19 Liverpool (N) Manchester City Machi 10...
  9. Mchochezi

    EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  10. Fundi kipara

    Yanga tusipokuwa makini na suala la likizo tutaukosa ubingwa mapema

    Salam wananchi, natumai hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa la mama kizimkazi. Naomba kusema kitu japokua roho na nafsi vinauma. Viongozi wa team yetu pendwa ya Young African kuna sehem wana shida kubwa sehem sana kuhusu suala la kutoa likizo kwa wachezaji nyota katika tena...
  11. Gordian Anduru

    Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
  12. MwananchiOG

    Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
  13. BARD AI

    Ivory Coast vs Guinea Bissau wanaanza leo, Nchi gani itaibuka na Ubingwa wa AFCON mwaka huu?

    Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan. #Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
  14. sky soldier

    Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  15. SAYVILLE

    Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  16. Mganguzi

    Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

    Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
  17. M

    Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  18. M

    Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimikmkumbua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Huu ni ukweli Mchungu! Simba wiki 2 zijazo ina kibarua kigumu!itakutana na Wydad mara mbili wiki ijayo! Mechi hizi zitakuwa ni ngumu mno Kwa Simba! Hii inatokana na ukweli kuwa ndio mechi zitakazoamua Ima Simba aende Robo Fainali au Wydad ajenge matumaininya kuingia Robo Fainali na kuendelea...
  19. C

    Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

    Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
  20. benzemah

    Rais Samia, Mwinyi Wapokea kwa Shangwe Ushindi wa Karume Boys, Waipongeza kwa Kutwaa Ubingwa wa CECAFA U-15

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume Boys) kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA-U15 yaliyofanyika nchini Uganda. Karume Boys...
Back
Top Bottom