Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima.
Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔
◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca.
◉...
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo.
2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba...
Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana.
Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi.
Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za...
UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY?
1. Manchester City
Pointi 88
GD 60
Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023
2. Arsenal
Pointi 86
GD 61
Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
Inakuwaje wanajamvi!
Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United.
Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na Tottenham na mechi yao ya mwisho dhidi ya Westham watashindiliwa na nyundo 1-0 na Westham united...
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.
Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu...
Dahhhhhh dunian tamuu Sanaa
Namsikia redion mgunda l kocha anasemaa hakuna shidaa badoo tukoo kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa wala atujakata tamaaa kha
Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano.
Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe anaongezewa mshahara sasa baada ya kubeba kombe Simba imesema hili sio kombe.
Mambo yamekuwa mambo 🤓😁😂
Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu.
By the grace of god I shall win this battle x3.
Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever.
Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka...
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao
KenGold FC
Pamba FC
Mbeya Kwanza FC
Biashara United FC
TMA FC
Mbeya City FC...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 61,276) - Pitch 105m x 68m
Principal Owner: John W. Henry
Chairman: Tom Werner
Manager: Arne Slot
Liverpool Trophies:
League...
Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu?
Je, Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki?
Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.