ubingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

    Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja! Klabu zingine zisubiri mwakani!!
  2. CAPO DELGADO

    Je, Simba kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu 22-2023?

    Sare anazopata Simba zinamuweka katika hali ngumu ya kurejesha ubingwa pale Msimbazi. Mpaka sasa inabidi Yanga ipoteze angalau michezo miwili ndipo Simba ipate ahueni. Lakini pamoja na yote, swali la Msingi ni kwamba Simba imefikaje katika hali hii? Hapa ndipo kwenye tatizo la msingi. Simba...
  3. Execute

    Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

    Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii. Lionel Messi anaenda kuwa kinara baada ya mchezo mkali dhidi ya Ufaransa. Atastaafu kwa heshima kama mchezaji bora zaidi...
  4. Suzy Elias

    Mwigulu: Acheni ubingwa wa kuorodhesha matatizo

    Ameyasema hayo huko Arusha leo.
  5. M

    Mbio za ubingwa wa ligi ya NBC 2022/23, ukizubaa umeliwa

    Mbio za ubingwa wa ligi ya Tanzania kwa sasa unakwenda kimahesabu zaidi kwa wanaouelewa mpira wa kitanzania. Ni mapema sana kumtaja atayebeba ndoo kwa sasa lakini kimahesabu na kiufundi Vijana wa mitaa ya twiga na jangwani wanayo nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao endapo wataendelea na ubora...
  6. K

    UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

    Historia ipo ili ivunjwe Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
  7. GENTAMYCINE

    Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  8. and 300

    Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

    Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe? NB: kazi (Halali) kipimo cha utu Kuliwa KANDE si ujanja
  9. B

    PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  10. KijanaHuru

    Simba,Yanga Na Azam, Kuukosa Ubingwa Msimu Ujao: Sakho Na Mayele Kuukosa Msimu Ujao

    Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu. hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa ikiwa kabakia mwenyewe mhusika kuangusha wino, kwa dau lililopo hata mchezaji kubakia Yanga itakuwa...
  11. sky soldier

    Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  12. sky soldier

    Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  13. Kalpana

    Yanga mjitathmini na ubingwa wenu wa kihistoria

    Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si mchezo yani kiufupi walihenya hivyo basi kwa heka heka hizo hatuna budi kuwapongeza. .mimi Simba dada...
  14. Boss la DP World

    Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  15. sky soldier

    Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  16. GENTAMYCINE

    Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  17. JanguKamaJangu

    Golden State Warriors yatwaa Ubingwa wa NBA kwa kuifunga Boston Celtics

    Golden State Warriors imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu ya NBA 2022 ikiwa ni mara ya nne ndani ya miaka nane iliyopita. Imeifunga Boston Celtics kwa vikapu 103-90 katika mchezo wa Fainali ya 6 uliomalizika alfajiri ya leo Juni 17, 2022. Stephen Curry amebeba Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
  18. M

    Shaka ashuhudia mtanange wa Yanga na Costal Union Kwa Mkapa

    Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu. Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo...
  19. Bibititi1

    Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  20. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC hatutaki kuwa Bingwa wa Umaarufu Mitandaoni, bali tunataka Ubingwa wa NBC, CAFCC au CAFCL tu

    Leo Klabu ya Simba imekabidhiwa Tuzo ya Klabu Bora kwenye Mitandao ya Kijamii Tanzania ambayo imetolewa na kampuni ya Serengeti Bytes. Tumeshinda tuzo hii baada ya kuvishinda kura vilabu vya Azam FC, Mbeya City, Ruvu Shooting na Yanga SC. Chanzo: Simba SC Tanzania Mnatumia nguvu Kubwa kufanya...
Back
Top Bottom