Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly.
Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei...
Manchester City imefanikiwa kutetea taji la Premier League msimu wa 2021/2022 baada ya kushinda mchezo wa mwisho wa ligi hiyo kwa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa, leo Mei 22, 2022.
Man City imetwaa umetwaa ubingwa huo kwa kufikisha pointi 93 huku Liverpool ikishika nafasi ya pili kwa kuwa na...
Mwanza.
LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana kuhakikisha inaweka matumaini kwenye ubingwa huo ikianza na mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold.
Simba...
YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi.
Vigogo hao ambao wameongoza ligi kwa takribani msimu huu wote kufikia sasa wakiwa na pointi 60...
Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba halafu Yanga wakashinda mechi siku hiyo huwa inakuwa nzuri sana na yenye kwa wananchi wa...
Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley, leo Mei 14, 2022.
Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa 0-0, ilibaki hivyo hata baada ya kuongezwa dakika 30. Mason Mount alikosa penati ya mwisho kwa...
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU).
Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) alioutwaa Mei mwaka 2021 kwa kumchapa kwa Technical Knock Out (TKO)...
Huu ndio ushauri wangu kwa viongozi na wachezaji wa Yanga ili tusije kujikuta tunakosa ubingwa au kutwaa ubingwa dakika za mwisho kabisa.
Sifa kwa Yanga zikiwemo sifa kwa wachezaji binafsi, ni nyingi sana(off course mnastahili), ila nawashauri zisiwafanye mlewe sifa mkawa na overcofidence ikaja...
Sasa rasmi gape la pointi imekuwa alama 10 kati ya yanga na simba, ni umakini mdogo wa polisi leo kulikowafanya washindwe kuondoka na alama 3, wamecheza vizuri sana lakini umakini wao mdogo kwenye final third umewafanya waokote point moja, Mbio za ubingwa kwa timu ya wananchi zinazidi kurahisishwa
Mzuka wanajamvi!
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na kusababisha vita vikali baina ya Urusi na Ukraine kujilinda. Huenda ikasababisha Liverpool FC isichukue ubingwa wa EPL msimu huu wa 2021-22.
Ukizingatia uingereza ni mshirika wa karibu na Ukraine akimsaidia kwa silaha , hela, chakula na...
Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne.
● Magoli ya kufunga – 29
● Magoli ya kufungwa – 4
● Assists – 21
● Cleansheets – 13
Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na kasi yake katika kuwania Tuzo ya Mfungaji Bora Msimu wa 2021/22:
“Namshukuru Mungu kwa matokeo haya...
Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi.
Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
Mtangazaji wa Wasafi FM, Ricardo Momo amenukuliwa katika session yake redio akidai kuwa wale wazee wa klabu waliozungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa watashitaki kwa Rais Samia Suluhu kuhusu klabu yao kuonewa, wamefanya hivyo kwa kuwa kuna kiongozi wa Serikali ambaye yuko nyuma ya...
Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2.
Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.