Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.
Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.
Jacob...
CCM ni chama cha watu wastaarabu wasiopenda tabia za hovyo hovyo sasa inapotokea wanachama wake tena wanaogombea uongozi kukosa maadili inafikirisha sana.
Hebu fikiria unapokuwa na mbunge anayetuhumiwa kupost picha za utupu mitandaoni taswira ya chama inaonekanaje?
Au mbunge anayepigwa mitama...
Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza kuhaha kutafuta msaada kwa baadhi ya vigogo ndani ya Ccm ili waweze kumnusuru na panga la kukatwa jina...
Wooote waliogombea ubunge uwe na sifuri au miaka kadhaa; kwanza hakuna mshahara wa Julai na Agosti bila kujali umerudi kazini tayari, bila kujali ulikuwa masomoni, ulikuwa likizo yako, nk. Najua walimu wako madarasani wakionesha uzalendo wao wa miaka yote kuisaidia CCM. Sasa lazima waandike...
Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu.
Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni.
Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana.
Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari.
Niishie hapo!
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwenye ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mh John Mnyika kwamba wagombea watakapozichukua fomu hizo kutoka kwenye ofisi za Tume ama kwa Wakurugenzi baada ya kuzijaza basi ni vema zikahakikiwa na ofisi kubwa kabisa za kanda ili kuondoa uwezekano wowote wa kukataliwa na...
Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter.
NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
Wadau wote wa uchaguzi mkuu hasa vyama vya siasa CHADEMA na ACT Wazalendo tafadhali sana wakati wa kujaza fomu ni muhimu wakasaidiwa na wanasheria ili kupuka kuwekewa mapingamizi kwa makosa madogo madogo.
Mfano katika uchaguzi mkuu uliopita kuna mgombea udiwani wa CHADEMA alienguliwa kwasababu...
Ndugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya...
Hii ni kwa sababu kwa miaka mingi sana jimbo la Kyela limekosa mbunge ambaye ni Mkazi halisi wa Kyela , kwa zaidi ya miaka 15 Kyela imekuwa na mbunge mpita njia, Mwakyembe alikuja Kyela kuomba kura ama kuja kuzika ndugu zake na kujiondokea zake , akirudi tena basi labda kuna ziara ya Waziri Mkuu...
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Husna Mwambiko aliyeshindwa kujieleza kwenye kura za maoni za ubunge anasema anaamini tukio lile halikutokana na kurogwa au uchawi bali ni ajali ya kisiasa.
Husna amesema yeye ana tatizo la kigugumizi na ndio kilichomtokea ila anamshukuru Mungu kila alipotaja CCM...
Nataka kuwashauri viongozi wakuu wa vyama hivi vya upinzani ambavyo vinaonekana kukikosesha usingizi chama chetu cha CCM upande wa bara na Visiwani.Msikosee hapa kwa tamaa za muda mfupi, kuweni na long term plans.
URAIS
Urais kwa Upande wa bara mwachieni Tundu Lisu wa CHADEMA agombee na...
Nimefuatilia zoezi la kura za maoni za viti maalumu upande wa UVCCM nimechoka kabisa.
Naipenda sana CCM lakini kiukweli UVCCM wa zama hizi wanafeli sana. Yaani wadada wote waliojazana CCM wenye elimu tofauti tofauti mnashindwa kupata wagombea makini hadi mnatuletea magarasa.
Haishangazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.