Hapa naongea kiimani zaidi na siyo kichama.
Sifa kuu ya mtu atamaniye kuwa askofu ni lazima awe na KIASI.
Kadhalika anapaswa kuwa ni mtu mpole, muafilifu, mwenye upendo, mwenye nidhamu, mume wa mke mmoja na asiyekuwa wa kulaumiwa.
Haya yote yameelexwa katika kitabu cha Timotheo wa kwanza, sura...
Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Bukene Lumola Stephen Kahumbi amepokea taarifa za vitisho vya kutekwa na kunyang'anywa Fomu za Uteuzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Katika taarifa yake kwa Umma Lumola amesema tayari ameshawasilisha taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi ili zifanyiwe kazi.
Lumola...
MCHUNGAJI LUKERE AJIUNGA NA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) KIGOMA VIJIJINI.
HABARI Mchungaji lukere amejiunga wa chama Cha wananchi CUF katika kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini.
Mchungaji lukere amejiunga na chama Cha CUF mapema Leo na kukabidhiwa kadi na makamu mwenyekiti wa juke taifa...
Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee.
Ameandika katika akaunti yake ya...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;
Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Jimbo la Temeke
- Doris Kilave
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo la Babati Mjini
- Pauline Gekul
Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo
- Charles Kimei
Shinyanga
Jimbo la...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi.
Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV
Up dates;
Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
Mgombea Ubunge Jimbo la mchinga kupitia CUF, Mhe. Hamidu Bobali amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo mchinga
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia Mwema, ukurasa wa 10, kwenye toleo la 12-18 August 2020. Makala yake ina kichwa cha maneno Kanisa...
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020.
Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
17 Agosti 2020
Bunda Mjini
Tanzania
ESTER BULAYA ALIVYOCHUKUA FOMU YA UBUNGE, MASHEHE, MAPADRI WAMPIGIA MAOMBI, SALA NA DUA KWA SAA NA NUSU
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya akikabidhiwa fomu ya Kuwania ubunge wa jimbo hilo na Msimamizi wa Uchaguzi Janeth Mayanja ili...
#HABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la temeke kupitia CUF, mhe. Zainab Mdolwa amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Temeke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.