ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

    Kamwambieni Abood kuwa asiyempenda kaja, atoke mafichoni akanadi sera. Devotha wa Chadema ni mgombea halali wa jimbo hilo. Hongera kamanda, ulipambana mpaka ukalala ndani! ===
  2. J

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  4. J

    Uchaguzi 2020 Mtanzania amka: Wasanii kazi yao ni usanii, Kampeni za Uchaguzi Mkuu si usanii, hatuhitaji maigizo wala kukatiwa mauno!

    Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. ======= Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
  5. D

    Uchaguzi 2020 Muheza: Mgombea Ubunge wa CHADEMA arejeshwa na Tume ya Uchaguzi baada ya kuenguliwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo

    Haya haya haya Mwana FA usiyempenda yupo mlangoni anakugongea. Kazi unayo Mwanaccm uliyetaka kubebwa. === Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana siku ya Tarehe 10 September 2020 ilitoa ilitoa majibu ya rufaa zilizokatwa na Wagombea mbalimbali ambao waliondolewa awali. Katika Jimbo la Muheza...
  6. Matojo Cosatta

    Mambo 21 ya kufanyiwa marekebisho ya kisheria katika mchakato wa Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani

    MAMBO 21 YA KUFANYIWA MAREKEBISHO YA KISHERIA KUHUSU MCHAKATO WA UTEUZI WA WAGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI. "Good laws emanate from worst conducts of human beings". Uchaguzi Mkuu ni mchakato (process) ambao una vijichakato (sub-processes) kadhaa ikiwemo kuandikisha wapiga kura, kutoa elimu...
  7. J

    Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

    Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa "Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha." Maendeleo...
  8. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  9. Fantastic Beast

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

    Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa. Watoto ambao walihitaji kulindwa na serikali dhidi ya kushiriki matendo wasiyokuwa na ufahamu nayo kama vile siasa za kampeni...
  11. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 Wagombea wa Ubunge wa NCCR na ACT-Wazalendo wajiunga CCM

    Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameacha kuendelea na kinyang’anyiro cha kupambania kupata ubunge wa Jimbo hilo na kuhamia CCM. Mmoja wa wagombea hao ni Daniel Daudi ambaye alikuwa anagombea kupitia, NCCR-Mageuzi na Amosi Roswe aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya...
  12. J

    Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM zimefana sana wagombea wa ubunge wanaonyesha uwezo mkubwa tutapata mawaziri bora!

    Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa. Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo. Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  13. J

    Uchaguzi 2020 Je, NEC imeokoa kiasi gani cha fedha baada ya baadhi ya wagombea ubunge na udiwani kupitishwa bila kupinga?

    Inaeleweka wazi kwamba Tume ya uchaguzi imepewa fedha za kutosheleza uchaguzi kwa majimbo yote na kata zote Tanzania bara na visiwani. Ni vema walipa kodi wakajulishwa kiasi cha fedha kilichookolewa baada ya baadhi ya wagombea kukosa sifa na hivyo majimbo yao kutoingia katika Uchaguzi...
  14. Pascal Mayalla

    Uchaguzi 2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Wanabodi, Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
  15. Mathanzua

    Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Van Zeland kuwa Mgombea Ubunge Mvomero kwa upande wa CCM, haujatutendea haki wananchi wa Wilaya ya Mvomero

    Mvomero sio Wilaya kongwe,na kwa hiyo kimaendeleo iko nyuma sana.Wilaya hii ina matatizo mengi, ya msingi yakiwa upatikanaji wa maji,migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo imedumu kwa miaka mingi sasa.Awamu zote zinaonekana kushindwa kabisa kutatua tatizo hili,sababu kubwa ikiwa viongozi kuwa...
  16. Civilian Coin

    Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

    NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima #DON NALIMISON Simu Na. 0682 94 29 01.
  17. Richard

    Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  18. B

    Uchaguzi 2020 Nimekerwa na kauli na Mgombea Ubunge mmoja kutamka hadharani kwamba hatopiga kampeni na atashinda

    Nadhani kama kuna Jambo limekosewa ni kuwa na tume inayowapa uhakika Wagombea kwamba wafanye kampeni au wasifanye watapitishwa tu. Mmoja wa wagombea katika majimbo ya Mwanza amediriki kujinadi kwa marafiki zake kwamba Hana haja ya kampeni kwa sababu tayari ameakikishiwa ushindwa. Anaeleza moja...
  19. B

    Zanzibar 2020 Hivi wagombea Ubunge Zanzibar majina yao yanapitishwa huku bara au wana utaratibu wao Zanzibar?

    Vyama vya siasa vinatumia utaratibu gani kupata wagombea Zamzibar? Je, Ni kupitia kamati kuu za vyama au mabaraza au wana utaratibu wao huko Zanzibar? Je, utaratibu wa wagombea wa Baraza la Wawakilishi na ugombea wa Ubunge wa Muungano upo sawa? Kama yanatoka huku bara, uwakilishi katika...
  20. nivoj.sued

    Kanisa liko sahihi kukataa padre wa Bukoba kugombea ubunge

    Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana. Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
Back
Top Bottom