Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.
Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini.
Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT.
Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki...
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu
Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu
Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.
Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.
Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
CCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi.
Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema.
Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea...
WARAKA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SONGWE KWA ASKOFU MWAMAKULA!
Bwana Yesu Asifiwe mtumishi wa Mungu. Ninaitwa OBADIAH SIMON MWAIPALU. Ni Mgombea UBUNGE Jimbo la SONGWE Mkoa wa SONGWE kupitia CHADEMA. Nilienguliwa na Msimamizi wa Uchanguzi Jimbo la SONGWE kwa kuchezea fomu yangu na kugushi namba...
Ni jambo jema.
NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa.
Source Swahili times
Maendeleo hayana vyama!
ORODHA KAMILI YA VITI MAALUM UBUNGE NA UDIWANI KUTOLEWA BAADA YA USHIRIKI WA KAMPENI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, ametoa msimamo wa Chama katika kuteua wabunge wa viti maalum, ambapo ameeleza kuwa, kwa upande wa Udiwani aliyeshinda kura za maoni ndio...
KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI.
SEHEMU 1: UTANGULIZI.
Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
17 September 2020
Mbeya Vijijini
Tanzania
Kamanda China wa China Joseph Mwasote
Mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA kamanda Joseph Mwasote hatimaye azindua kampeni yake ya 2020 baada ya Tume ya Uchaguzi kurudisha jina lake liliokuwa limeenguliwa kufuatia pingamizi alilowekewa...
Ndugu zangu,
Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
Heshima sana wanajamvi,
Mbio za ubunge katika jiji letu la Arusha sasa zipo wazi kabisa kiasi kwamba hata kipofu ni rahisi kujua na kufahamu nani atashinda ubunge.
Mara baada ya Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo kupitishwa na kamati kuu kugombea ubunge Arusha Mjini kulikuwa na sintofahamu kubwa...
Kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya Ubunge wake huko...
14 September 2020
Iringa Mjini
MGOMBEA UBUNGE IRINGA MJINI ROBERT KISININI "AFUMANIWA" AKIFANYA HAYA
Mwaka 2020 huu yupo NCCR-MAGEUZI akitumaini kuchaguliwa kuwa mbunge
HISTORIA MWAKA 2015 aligombea Uspika
Mgombea Uspika DP Mhe. Robert Kisinini aahidi kurudisha imani ya kweli kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.