Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata...
Hongera sana Lissu kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.
Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.
Kikubwa zaidi...
Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili.
PIA SOMA
= > Uchaguzi...
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji...
UCHAGUZI 2020: WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Kaijage amesema Wagombea wanawake katika kiti cha Rais ni 2 kati ya 15 sawa na asilimia 13 na kwa Makamu wa Rais wanawake ni 5 kati ya 15 sawa na asilimia 33.
Amesema kwa...
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2.
Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge.
Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi.
Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM.
Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na...
Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni.
Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi.
=====
Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli.
Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli.
Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo.
Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho...
Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa.
=====
Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote.
Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu.
Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.