ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  2. Francis12

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  3. Z

    Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

    Leo CHADEMA imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama. Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Khenan. Hapo awali, CHADEMA ilitoa amri kwa Aida Khenan kutokushiriki Bunge. Hata hivyo...
  4. S

    CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Ni imani yangu viongozi wa CHADEMA leo wataweka mbele heshima ya chama kwa kulinda katiba ya chama hicho pale watapowafukuza wasaliti 19 kwa mpigo na kuweka historia ya kufukuza Wanachama Waandamizi 19 kwa mpigo ili kulinda Katiba ya chama. Hakika leo itakuwa ni siku ya historia kwa CHADEMA na...
  5. J

    Kumbe Menejimenti Team yote ya BAWACHA wamepata Ubunge wa Viti Maalumu

    Nilidhani yale majina ya Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA yalizingatia uwakilishi kama wafanyavyo UWT ya CCM. Kumbe hawa CHADEMA wamepeleka majina ya viongozi watupu ukiwemo uongozi wote wa BAWACHA yaani Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Mkuu, Mtunza Hazina nk. Ni...
  6. S

    Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

    Ameandika hivi kupitia twitter: Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
  7. matunduizi

    Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Zaidi nasikia uchaguzi umeisha tufanye yajayo. Miaka iliyopita watu walikuwa wanakwenda mahakamani kudai haki zao zilizopokonywa na wengine walishinda. Je, Hawana ushahidi? Wamekubali yaishe? Hawajaibiwa Bali wamepigwa kisawasawa? Wanatishwa? Wanatafakari kilichotokea? Wanajiandaa kuunga Mkono...
  8. J

    Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

    Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu. Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa. Maendeleo hayana vyama!
  9. Intelligence Justice

    Mgombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani-Awe mkazi eneo la jimbo husika, apimwe afya ya akili na asiwe mtoro wa kesi jinai

    Wakuu, Hili ni bandiko la Pendekezo, 1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
  10. tramadol

    Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria. Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya...
  11. S

    Jicho la tatu: Wapinzani waliokosa Ubunge kuingia katika mtihani wa kupewa Teuzi Serikalini ili wasaliti vyama vyao lengo likiwa kuua upinzani

    Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea. Katika kutekeleza makakati/mpango huo,wanaoweza kuwa wanasiasa wa mwanzo kushawishiwa kukubali teuzi hizo ni watu/wanasiasa kama Prof.Jay, Sugu, Msigwa na...
  12. Replica

    Uchaguzi 2020 Lipumba: Mgombea Ubunge Temeke (CUF) alipata kura sifuri kwenye kituo ambacho yeye na familia yake walienda kupiga kura

    Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa kuambulia kura sifuri kwenye kituo ambacho yeye na wana-familia saba walienda kupiga kura. Lipumba amesema...
  13. D

    Viti Maalum vya Ubunge vyaigawa CHADEMA. Washindwa fikia muafaka kususia Bunge

    Kutokana na kura za ubunge walizopata CHADEMA wanaweza kupata wabunge wa Viti Maalum kati ya 12 na 18. Sasa wazo la wao kususia bunge na mabaraza ya madiwani limekuwa gumu kwa sababu kuna wanawake wanaoamini bora kutumia fursa hiyo kuliko kuiachia iende bure. Katika kikao chao, Halima Mdee na...
  14. Q

    Uchaguzi 2020 Mambosasa: Wagombea ubunge walioshindwa warudi majimboni mwao

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
  15. W

    Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

    Ndugu zangu, Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia. Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha! Kama hawata kaa chini...
  16. gango2

    Ubunge Viti Maalum: Je, CHADEMA, ACT Wazalendo, CUF wataapata wangapi?

    Habari zenu ndugu wanajamii forum: Kwanza kabisa naomba niwape hongera|pole kwa wale wote walioshinda|kushindwa uchaguzi. Pili naomba nije moja kwa moja kwenye maada hapo juu! Tumeona huku kwetu bara CUF wameambulia jimbo 1 na chadema wameambulia jimbo 1 huku ACT hawajapata kitu. Sasa...
  17. Lizaboni

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

    Wadau, amani iwe kwenu. CHADEMA na ACT-Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia. Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika...
  18. T

    Uchaguzi 2020 Viti vinne vya Ubunge ACT-Wazalendo

    Wakuu Salaam, Gazeti la Mwananchi limeandika ukurasa wa mbele kuwa ACT-Wazalendo kimepata viti vinne vya ubunge bila kutaja majimbo yenyewe. Nauliza ni majimbo gani hayo ambayo ACT kimeshinda? Au ni yale ya Zanzibar?
  19. A

    Uchaguzi 2020 Ila Mnyika aliona mbali sana kutogombea Ubunge

    Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge. Najiuliza: ¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake? ² Je, aliamua kuunga mkono jitihada kimyakimya? Hebu nijuzeni Amani
  20. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
Back
Top Bottom