Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi
“Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa baadhi ya sehemu za mwili.
CATHERINE ATOA UFAFANUZI WA MADAI YA KUNYANYASWA NA POLISI
Akitoa...
Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa.
Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala
Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea akashinda basi raisi atakuwa ni yule mwenye rimoti.
Kutumikia kwake serikali kwa muda wa miaka 47 ni...
Licha ya kipigo, alifikishwa mahakamani na baadae kupewa dhamana.
Habari na picha hii ni kwa mujibu wa tweet ya Chadema Kanda ya Serengeti
Pia soma > John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo
Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
Mwaka 2020 utakumbukwa kama mwaka ulioshuhudia kampeni zenye ushindani mkubwa na msisimko wa aina yake katika jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro. Jimbo la Vunjo limekuwa kama jimbo la North East London huko Uingereza ambalo kila mwaka wa uchaguzi linabadilisha chama.
Kinyang'anyiro hiki ambacho...
Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM
=======
Ni majimbo yafuatayo:
1. Kawe
2. Mikumi
3. Iringa mjini
4. Mbeya mjini
5. Tunduma
6. Hai
7. Karatu
8. Bunda
9. Tarime mjini
10. Tarime vijijini
11. Arusha mjini
Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa.
Maendeleo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi vipaumbele vyake endapo akipewa ridhaa na Wananchi ifikapo Oktoba 28,2020.
ELIMU
-Kuimarisha ubora wa...
Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki
Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa?
Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA?
Mishahara na marupu rupu yao yapoje?
Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu.
Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni.
Hii...
Wakuu heshima sana,
Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu.
Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu.
Na wengine wanaweza kumpigia...
Kazi nzuri bw. Lissu, bila kujali maamuzi ya wapiga kura na bila kujali ubora wa sera ambao kwa kweli kila chama kuna udhaifu.
Lakini, wako wapi unaowategemea kushika nafasi za ubunge? Sioni wagombea wa CHADEMA katika harakati zao za kampeni!
Je, hakuna matumaini ya ushindi au ukubwa wa...
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.
Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.