Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa...
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu Ubunge wa Jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa...
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili apate ubunge Taletale amesema huo ni uzushi mtupu na alishaupuuza.
Babu Tale amesema hizo zilikuwa...
Tunakumbushana tu.
Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni
Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni.
Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni
Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe bungeni
Mbatia alimpeleka dada yake bunge la Afrika Mashariki nk nk
Kila jambo na wakati wake, awamu...
Endapo mtu atalipwa mshahara na posho Kama Mbunge huku kikatiba akiwa Hana sifa ya Ubunge awezi kushtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumu pale atakapoingia kiongozi mzalendo na anayesimamia katiba?
Kama haiwezekani kushtakiwa kwanini watumishi wa Umma wanaokosa sifa zakuendelea kuwa watumishi kwa...
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao. Na kwa mujibu wa sheria mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa.
Mgaya anasisitiza...
Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.
Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja...
Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku.
Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya...
Waliberia wanashiriki leo katika zoezi la kura ya maoni kuhusu mpango wa Rais George Weah wa kupunguza mihula ya urais, huku wakosoaji wakihofia kuwa anaweza akayatumia mabadiliko hayo kubakia madarakani.
Nguli huyo wa zamani wa kandanda Weah amewaambia wafuasi wake kwamba kubaki na kiongozi...
Miaka ya nyuma iliwezekana waziri kuanza na majukumu yake kabla hajala kiapo cha ubunge na hii ilikuwa ni kwa sababu wabunge waliapishwa wakati wa vikao vya bunge.
Je, kwa sasa hawa wabunge wapya akina Dkt. Dorothy na mwenzake itabidi waanze kwa Ndugai ndio waelekee Chamwino?
Nawatakia...
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje.
CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli wapi hadi barua yenye sahihi na muhuri wa katibu mkuu inafika NEC bila uongozi akiwemo KM mwenyewe...
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
Dkt. Bashiru ametoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Kamati za Jumuiya za Chama hicho uliofanyika leo jijini Dodoma ambapo amesema kuwa, vyama vya upinzani vilikuwa na wagombea wengi wanawake majimboni na walikuwa na ushawishi mkubwa.
''Upinzani walikuwa na wakinamama wenye ushawishi sana...
Mama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki yake ya kutoa maoni kama Katiba inavyomruhusu.
Tatizo siyo Msekwa, tatizo ni wewe hutaki Msekwa...
Twende kwenye hoja moja kwa moja.
Chadema iliwapa fursa wanawake takribani 60 kugombea kwenye majimbo mbalimbali. Miongoni mwao walikatwa kikatili na bila sababu na tume ya Taifa na kunyimwa fursa ya kugombea. Miongoni mwao ni waliokuwa wabunge Suzan Kiwanga na Lucy Owenya. Tena basi kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.