ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Mtoto wa Gerezani alipogombea Ubunge nchini Canada

    MTOTO WA GEREZANI ANAGOMBEA UBUNGE CANADA Originally a native of Tanzania, I immigrated to Canada settling in Ottawa where I graduated from Ridgemont High School, followed by attending the SUNY (State University of New York) Oneonta University in New York. One of my core beliefs is the...
  2. N

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  3. William Mshumbusi

    Polepole na Gwajima wanaviburi sababu wanajua ata CCM wakiwavua uanachama Spika hatawanyanganya ubunge Kama Akina Mdee.

    Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
  4. mugah di matheo

    Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

    Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba. Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole? Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
  5. S

    Katika mazingira haya, Askofu Gwajima anapaswa kujiuzulu na si tusubiri kuchukuliwa hatua kuthibitisha ubunge kwake sio kitu kama alivyowahi sema

    Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa...
  6. N

    Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake. Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa. Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
  7. L

    Nani kuwania Ubunge Iramba ikiwa Mwigulu akigombea Urais 2025?

    Je, ni Jumbe Katala? Je, ni Zaipuna Yonah? Je, ni Timothy Lyanga? Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi? Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege? Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na...
  8. Cannabis

    Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  9. Meneja Wa Makampuni

    Watakaogombea Ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati

    Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati. Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo. Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
  10. S

    Zanzibar 2020 CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

    Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
  11. Shujaa Mwendazake

    Jimboni Konde: Vipi hili la Mkuu wa mkoa kumpigia kampeni mgombea Ubunge

    Halihitaji Maelezo , Swali langu hili limekaaje kikatiba au kisheria?? Kama si sahihi , je ni Kweli Dk Mwinyi ni Mam Samia wana nia ya kuheshimu katiba, sheria na kanuni hapa nchini?
  12. B

    Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  13. Fohadi

    Hivi kwanini Ubunge usiwe na kikomo ili kupisha mawazo mapya?

    Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa maendeleo. Na ili tupate maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha. Inasikitisha kuona kuna...
  14. Analogia Malenga

    Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa limekataa kupitisha bajeti ya serikali iliyopendekezwa. Ameyasema hayo leo, Juni 22 ambayo ni siku ya...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu

    Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili.
  16. TheDreamer Thebeliever

    Korea kama hauna degree haupewi mke, Ifike mahala kama hauna degree usigombee ubunge

    Habari wadau..! Tanzania bado tnaishi zama za 3K's yaani Kusoma Kuandika na Kuhesabu wakati dunia ishapita huko hata Tanzania tushapita huko.Ila hii katiba yetu bado ipo zama za 3K 's . Nchi sasa imekuwa na wasomi wengi lazima tukubali ,hivyo lazima tubadilishw hata baadhi ya vipengere wakati...
  17. Nyendo

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
  18. Sky Eclat

    Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  19. Zero IQ

    Babu Tale jipange sana awamu hii; awamu ijayo usiuwaze Ubunge

    Kuna muda huwa najiuliza tu kama watanzania tulianza anzaje kuwa na mbunge kama Babu Tale Mwendazake alifanya kazi ya ubunge iwe ni kama kazi ya kubeti tu. Wanatangaza nafasi mwenye pesa anachukua Form mwenyekiti akimkubali basi ndio anakuwa mbunge, maana hakuna uchaguzi wa haki uliotokea...
  20. Geza Ulole

    Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
Back
Top Bottom