Habari Jf, nimefuatilia baadhi ambazo zinakuwa zikirushwa mubashara kuna kitu fulani kinaongezeka katika kuonyesha haki inatendeka.
Itapunguza mambo mengi kufichwa na udanganyifu. Mtu akisema mimi nafanya kazi central au naishi Morogoro maana yake kuna watu wengi watamuona kwa sura na itasaidia...
Didmus Barasa amechaguliwa tena kuwa Mbunge wa Kimilili baada ya kupata kura 26,000 akimshinda mpinzani wake wa DAP-K Brian Khaemba aliyepata kura 9,000.
Barasa aliyegombea kupitia UDA, anadaiwa kumpiga risasi na kumuua msaidizi wa Olunga baada ya kukutana eneo la Shule ya Msingi ya Chebukwabi...
Wanabodi,
Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa.
Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
Kuna msemo usemao, Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno!.
Hao wenye moyo ni wazalendo wa kweli wa nchi yetu.
Tangu baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amekufa na Azimio lake la Arusha lililoweka miiko ya uongozi, sifa ya uongozi wa umma enzi za Mwalimu ilikuwa...
Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki
Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo.
Idadi hiyo inaashiria mchuano...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27, 2022 imetoa zuio la muda la kutofanyika chochote kwenye Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.
Chanzo: MwanaHalisi
===========
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27...
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?
Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro.
Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
Kaka wa Rais Gotabaya Rajapaksa ametangaza kujiuzulu Ubunge akisema kuanzia sasa hataki kujihusisha na shughuli zozote za Serikali
Basil Rajapaksa ambaye amewahi kuhudumu kama Waziri wa Fedha anakuwa ndugu wa pili wa Rais kujiuzulu kufuatia mdororo wa kiuchumi ambao ulisababisha vurugu na...
Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
Buriani Mrisho Gambo!
Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.
Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa
1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa.
2. Kesi ya msingi itasikilizwa Juni 13, 2022 saa 4:00 Asubuhi.
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama.
Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao
Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama.
Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?”
Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge.
Huwezi kula usichopanda.
Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.
Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.
Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.
Poleni,
life is hard, byee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.