ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AbuuMaryam

    Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  2. R

    Mbunge wa Scotland apoteza ubunge baada ya kuvunja masharti ya kuzuia maamukizi ya Covid-19 mwaka 2020

    Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa. Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test. Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata...
  3. comte

    Madeleka umeudanganya umma wa watanzania kwa mara nyingine tena

    Madeleka ulisema kwamba Bunge halina mamlaka ya Kujadili au kupitisha Makubaliano, lakini lina mamlaka ya kufanya hivyo kwenye mikataba tu. Huu sio ukweli, Bunge linauwezo pia wa kujadili mpango wowote, achilia mbali makubaliano au mkataba, bali mpango wowote na kisha kuutungia sheria. Haya...
  4. U

    Kwanini Mwabukusi(Mtanganyika) aigimbee Ubunge kutukomboa wananchi

    Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
  5. BARD AI

    Boris Johnson ajiuzulu Ubunge kwa shinikizo

    Johnson ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza na baadaye kujiuzulu kutokana na sakata la Brexit, amefikia uamuzi baada ya Kamati ya Haki za Bunge kubaini alipotosha Bunge na hivyo kupendekeza asimamishwe Ubunge kwa siku 10. Mbunge huyo wa chama cha 'Conservative' kutoka Majimbo ya...
  6. peno hasegawa

    Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

    Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam. Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai. Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
  7. Suzy Elias

    Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

    "....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!" Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!" "Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha...
  8. peno hasegawa

    Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  9. M

    Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  10. F

    Atakaekiri 2025 awe kutoka CCM au Upinzani kutenda kama Hayati Magufuli atajihakikishia ushindi kwenye udiwani na Ubunge lakini kwenye Urais ni Samia

    Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani. Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu: Jambo la kwanza, Mwaka 2025 Rais ni Samia na ushindi wake utaonekana 2024 kuelekea 2025 na kuna mambo...
  11. M

    James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

    Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund. Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba. Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
  12. Mr Dudumizi

    Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

    Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani. Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
  13. MamaSamia2025

    Sabaya atawafaa CHADEMA Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Natumaini mko wazima. Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali. CHADEMA iko vizuri kwa idadi...
  14. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  15. R

    Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

    Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka. Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
  16. M

    Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  17. B

    Chief Karumuna mgombea ubunge (CHADEMA) Bukoba mjini afunguka alivyotekwa 2020

    25 February 2023 Bukoba, Tanzania MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA TOKA KIWANJA CHA MAYUNGA BUKOBA Mbunge wa roho za watu katika jimbo la mioyo ya wakazi wa Bukoba mjini afunguka alivyotekwa na wenye bunduki 4 kwenye uchaguzi wa 2020. Hayo yalijiri wakati CHADEMA walivyofungua mkutano wa...
  18. L

    Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa. Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025. Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo...
  20. comte

    Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

Back
Top Bottom