Hamjambo wajukuu,
Mambo ni mengi muda hautoshi basi alfu lela ulela kibao...
Sikuwa na mpango wa kutoka leo, maana jua kali halafu usingizi ulikuwa bado umeshika hatamu.
(Usijiulize maswali mengi, niko naiti shifti sikuhizi). Waja si watu wazuri wanataka niache kazi ili nidange, waaapiii...