Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei
Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa
Ujenzi na makazi
Biashara na ujasiriamali
Hapa habari mchanganyiko
Jukwaa la picha
Chitchat
Mapishi
Urembo na utanashati.... Lakini nyakati zote sijawahi kupost picha za ubunifu wa maumbo, fenicha na vifaa vya ulimwengu pendwa...
Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku
Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂
TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI
Nb: Makande...
Hii ni kama urembo zaidi kuliko uhalisia.. Ama kumbukumbu za tulikotoka.. Kizazi hiki hakina wasomaji wa vitabu tena😪 internet imechukua nafasi ya kila kitu
Nikikumbuka enzi za collection ya vitabu vya
Ujamaa na kujitegemea
World cold wars
Soviet union
African writers series
Riwaya za kibongo...
Kile unachodhani ni takangumu ya kutupa au kuchoma moto kwa msanii wa ubunifu ni malighafi ya kutoa kitu cha kushangaza.. Ni uwezo wa aina yake kugeuza kisicho na faida kuwa cha faida
Utangulizi
Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
Kama unapenda vitu vya kipekee na ubunifu uliotukuka, kamwe huwezi kukutana na kazi hizi kisha ukaacha kutia neno.. Hapa ni ubunifu, usanifu na uchongaji uliotukuka... Siishi kuzitamani hizi kazi... Mbao tupu tena halisi hakuna plastic hata moja
Sharing is caring...❤🎀👌🏿
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.