Ingawa mgombea wao Ameanza kunadi Sera zao, lakini hayapo uzito Mambo yanayowagusa wengi. NI Kama anasema tu juu juu na kukazia maswala binafsi yanayomuhusu yeye na watu wa chama chake.
Ajira, kilimo na biashara kila moja kinaweza kumuathiri kila mtu Ila mgombea anashindwa kuonesha kila ajenda...
Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika.
===
Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
Ndugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
Leo nimepitia vitabu tofauti vikizungumzia maisha na mafanikio ya Nick Vujicic, mlemavu asiyekuwa na mikono Wala miguu na Jesca Cox mwenye ulemavu pia wa mikono( Picha zao nimeambatanisha mwisho wa hili andiko)
Nick Vujicic, Hana mikono Wala miguu lakini ana uwezo wa kuogelea, kuchora na...
ALLEV vsRUN X
HIMO vs COASTER
VAUGUARD vs RAV4
Baadhi ya magani ya Mjapan yanatumia injini aina moja kwa magari tofauti
Mfano injini ya 1G FE unaikuta kwenye:-
GX100
GX110
VEROSA
ALTEZA
Veronica Duque(43) aliyefundisha kwa miaka 15, sayansi ya jamii na sayansi ya asili, alinunua vazi la kuonyesha sehemu za ndani za mwili ili kufanya somo la kuhusu mwili lieleweke kwa wanafunzi wake wa darasa la tatu ‘third grade’
Mwalimu huyo anasema aliliona vazi hilo mtandaoni na kavutiwa...
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake.
Script writer wa hii...
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia.
Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :-
1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani.
2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti.
3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
Kazi ya waziri wa Elimu ni kuwa Mbunifu Tanzania ilipata waziri wa elimu Profesa Juma Kapuya .
Aliposhika uwaziri ubunifu aliobuni ni wa kutaka shule zote za msingi na sekondari za Serikali watoto wa kike wawe wanavaa kiislamu kwa kuvaa vile vifunika uso na akaagiza walimu wakuu wasimamie hilo...
Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya ndio changamoto kubwa, changamoto nyingine ni watumishi wachache waliopo kufanya kazi zaidi ya uwezo wao. Mfano nesi mmoja kuwahudumia wagonjwa hadi 40 au zaidi kwa siku na wakati mwingine hata kunyimwa siku za mapumziko kwa sababu ya baadhi ya zamu kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.